Triple A FM

Habari za Nyumbani

27 March 2024, 10:36 pm

Wananchi mna haki kudai uwajibikaji

Na Joel Headman Wakati taifa likisubiri kutolewa kwa ripoti ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali (CAG) mwishoni mwa mwezi huu au mwanzoni mwa Aprili, wananchi wametakiwa kufuatilia na kufahamu mwenendo wa rasilimali za nchi. Wito huo umetolewa…

17 March 2024, 10:21 pm

Wanahabari wanawake waweka rekodi Arusha

Na Joel Headman Umoja wa kwanza wa wanawake wanahabari ngazi ya mkoa nchini umezinduliwa mkoani Arusha. Umoja huo uliopewa jina la Arusha Women in Media umezinduliwa jijini Arusha Jumamosi Machi 16, 2024. Akizungumza mwenyekiti wa umoja huo Jamila Omar amesema…

7 March 2024, 3:54 pm

madiwani wapitisha bajeti kuboresha jiji la Arusha

“vipaumbele vitakuwa katika sekta ya Elimu, Afya na Miundombinu kwani maeneo hayo ndio yanawagusa wananchi moja kwa moja” Na.Anthony Masai Baraza la Madiwani Halmashauri ya Jiji la Arusha limepitisha Bajeti ya kiasi cha shilingi Bilioni 51 kutoka katika mapato ya…

24 February 2024, 10:26 pm

Hivi ndivyo ajali ilivyoua 15 Arusha

Na Joel Headman. Watu 15 wamefariki dunia papo hapo mkoani Arusha katika ajali ya barabarani iliyohusisha magari matatu. Akiwa katika eneo la Kibaoni Ngaramtoni ilikotokea ajali hiyo, Kamanda wa polisi mkoa wa Arusha SACP Justine Masejo amesema ajali hiyo imetokea…

11 November 2021, 3:47 pm

Agenda ya usafi ni ya kudumu jijini Arusha-Meya

Na.Anthony Masai,Arusha. Baada ya kunyooshewa kidole cha malalamiko ya muda mrefu ya wananchi kuhusu huduma duni za ukusanyaji na uzoaji taka jijini Arusha,Meya wa jiji Maxmillian Iranqhe amefanya kikao kazi na mawakala wa usafi ili kutafuta ufumbuzi wa changamoto hizo.…

8 November 2021, 2:02 pm

WAMACHINGA WATII SHERIA BILA SHURUTI ARUSHA.

Na.Sunday Douglas,Arusha. Wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama machinga ambao walikuwa wamejenga vibanda juu ya madaraja, kandokando mwa barabara na maeneo mengine ambayo sio rasmi jijini Arusha,leo wameanza kuhama. Wamachinga hao wanahama kutokana na tangazo la Mkuu wa Mkoa Arusha, John Mongela…

8 November 2021, 12:50 pm

MAWAZIRI WATATU KUSHIRIKI MAADHIMISHO ARUSHA.

Na.Anthony Masai,Arusha Mkuu wa Mkoa Arusha, John Mongella amewataka wananchi wa Jiji hilo kutumia wiki ya kupambana na magonjwa yasioambukiza kwa kujitokeza kwa wingi kwa ajili ya upimaji afya pamoja na kupata ushauri wa kitaalamu. Bwana Mongella amesema, maadhimisho hayo…