Ushirikina
15 July 2024, 5:29 pm
Serikali kuchimba visima Igandu zaidi ya vitatu
Hata hivyo Serikali kupitia RUWASA bajeti ya 2023/2024 imepanga kujenga jumla ya miradi 1546. Na Victor Chigwada.Matumaini ya kupata huduma ya maji safi na salama yameanza kupata nuru kwa wananchi wa Kata ya Igandu baada Serikali kutenga fedha za kuchimba…
28 May 2024, 6:26 pm
Serikali yaanza kuwachimbia visima wakulima wadogo Manchali
Pamoja na hayo Wizara ya kilimo itahakikisha inawasaidia Wakulima wadogo waliopo katika mradi huo kupima mashamba yao ili wapate hati. Na Mindi Joseph.Serikali imeanza utekelezaji wa mradi wa kuwachimbia visima wakulima wadogo katika kijiji cha manchali jijini Dodoma ili waweze…
5 February 2024, 15:32
Viongozi wa dini wakemea ramli chonganishi Kigoma
Jamii imeshauriwa kutojihusisha na vitendo vya ramli chonganishi ambavyo vinafanywa na waganga wa kienyeji ili kuwatapeli wananchi. Na, Josephine Kiravu Viongozi wa dini Kutoka madhehebu mbalimbali Mkoani kigoma wamekemea vikali vitendo vinavyoendelea kufanywa na waganga wanaopiga ramli chonganishi maarufu kwa…
6 October 2023, 16:05
DC Uvinza apiga marufuku ramli chonganishi kwenye jamii
Serikali imesema itawachukulia hatua za kisheria wanaoendelea kupiga ramli chonganishi kwenye jamii wilayani Uvinza mkoani Kigoma. Na Kadislaus Ezekiel Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Dinna Mathamani amethibitisha kufariki watu watatu wakazi wa kijiji na kata ya Kazuramimba wilayani Uvinza mkoani…
18 August 2023, 10:21
RC Kigoma apiga marufuku ramli chonganishi
Na, Tryphone Odace Mkuu wa mkoa wa Kigoma Kamishna Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye amewataka viongozi wa Serikali za mitaa kuchukua hatua za kisheria haraka kwa watu wanaojihusisha na upigaji wa ramli chonganishi kwani imekuwa…
18 July 2023, 16:16
Watu 29 mbaroni kwa tuhuma za ramli chonganishi Mkoani Kigoma
Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma limesema litaendelea kutoa elimu kwa jamii kuachana na vitendo vya ramli chonganishi ambavyo husababisha uvunjfu wa amani. Na, Josephine Kiravu Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma linawashikilia watuhumiwa 29 wakiwa na vifaa vya kufanyia ramli chonganishi…
11 July 2023, 10:54
DC kigoma amepiga maarufuku ramli chonganishi kwenye jamii
Serikali imesema itawachukulia hatua za kisheria yeyote atakaye jihusisha ama kusaidia shughuli za Rambaramba (Kamchape) wanaopiga ramli chonganishi na haitawaonea huruma. Na, Lucas Hoha Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Salum Kalli ameomba viongozi wa Dini pamoja viongozi wa Serikali za…
3 March 2023, 2:05 pm
Wakaazi wa Nyamuswa walalamika kuingiliwa kingono kwa njia za kishirikina
Wakaazi wa Kijiji Cha Nyamuswa Kata ya Nyamuswa Halmashauri ya wilaya ya Bunda mkoani Mara wamelalamikia vitendo vya kuingiliwa kingono wakati wamelala jambo linaloleta taharuki kwa wananchi Wakizungumza kwa nyakati tofauti wakazi hao wamesema licha ya vitendo hivyo kukemewa na…