Radio Tadio
TFS
27 January 2024, 6:48 pm
Sengerema yapanda miti elfu 20 kumbukizi ya kuzaliwa SSH
Tarehe 27 ya Mwezi Januari kila mwaka tangu 1960 ni kumbukizi ya kuzaliwa kwa Rais wa awamu ya Sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hasani, ambapo kwa mwaka huu 2024 anatimiza umri wa miaka 64 Na;…
20 April 2023, 7:46 pm
kuelekea miaka 59 ya muungano Lindi yazindua siku ya upandaji miti kimkoa
Na loveness Daniel Kuelekea maadhimisho ya sikukuu ya miaka 59 muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambayo hufanyika April 26 kila mwaka Mkoa wa Lindi umezindua siku ya upandaji miti kimkoa ikiwa ni miongoni mwa utekelezaji wa agizo la Rais Samia…