TBA
29 July 2026, 15:39
Wananchi Dodoma watakiwa kutumia fursa zinazopatikana kujiingizia kipato
Vile vile kupitia uongozi wa jiji wanatoa mikopo na elimu bure kwa watu wote wanaotaka kujikita katika ufugaji wa samaki wa mabwawa ili kuongeza kipato na kukuza uchumi wa wananchi. Na Jerome John. Wakazi wa jiji la Dodoma wametakiwa kuzitumia…
14 July 2026, 17:18
Wanawake watakiwa kufanya shughuli za kujiingizia kipato
Kadiri wanawake wanavyoendelea kuvunja vikwazo na kushiriki katika sekta mbalimbali za uzalishaji, wito umetolewa kwa jamii kuendelea kuwaunga mkono na kuwapa fursa sawa, ili uwezo wao uweze kuchangia maendeleo ya familia, jamii na taifa kwa ujumla. Na Anwary Shaban. Wanawake…
30 September 2023, 6:59 pm
Kalinga: Wanafunzi 5 wasiojiweza kushikwa mkono
Na Gift Mario/Mufindi Kaimu Meneja mawasiliano na masoko TBA Ndugu Fredrick Kalinga, amechangia mifuko 30 ya saruji kwa ajili ya kufanikisha ujenzi wa matundu 14 ya vyoo katika shule ya msingi Igulusi kata ya Ifwagi wilayani Mufindi. Katika hotuba yake…
27 September 2023, 2:12 pm
TBA yawafikia wanageita kwa kutoa elimu katika maonesho ya 6
TBA imeendelea kutekeleza miradi mbalimbali ya serikali kwa uaminifu na uadilifu huku Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongeza wigo katika sekta hiyo na kuiruhusu kufanya kazi na mashirika binafsi. Na Zubeda Handrish- Geita…