Radio Tadio

Plastiki

22 September 2026, 16:58

Watakiwa kuwa makini matumizi ya vifaa ya umeme

Kwa kuzingatia kuwa moto unaweza kutokea wakati wowote na kusababisha hasara kubwa kwa maisha na mali, elimu, tahadhari na maandalizi ya mapema vinaendelea kuwa muhimu kwa kila mwananchi. Jeshi la Zimamoto na Uokoaji jijini Dodoma limewataka wananchi kuongeza umakini katika…

5 May 2025, 18:32

Wananchi watakiwa kutoa taarifa za majanga ya moto haraka

Siku ya Zimamoto Duniani huadhimishwa kila May 4 ya kila mwaka. Na Kitana Hamis.Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Mkoa wa Manyara Gilbert Mvungi,ametoa wito kwa wananchi kutoa taarifa mapema pindi ajali ya moto inapotokea kwakupiga namba ya…

27 January 2025, 18:23

TRA kuwapunguzia kodi manusura janga la moto

TRA), mkoa wa Dodoma imesema itatumia sheria zilizopo kuwapatia unafuu wa kikodi wafanyabiashara walioathirika. Na Seleman Kodima.Ikiwa siku chache zimepita tangu takribani maduka 14 yaliyopo mtaa wa Kipande katikati ya jiji la Dodoma kuteketea kwa moto, Mamlaka ya Mapato Tanzania…

5 February 2024, 18:02

Taka, chupa za plastiki ni mali katika mazingira

Kwa mujibu wa redio Vatican inasena chupa za plastiki ambazo zilipaswa kutumika tena, lakini sehemu kubwa ya shehena za chupa inaishia kuwa ni taka zinazoendelea kutupwa na hivyo kuhatarisha maisha ya watu wengi duniani chupa hizi kamwe hazitaoza na zitaendelea…

2 May 2023, 13:23

Wafanyabiashara watakiwa kutunza mazingira

Mifuko ya plastiki ilipigwa marufuku kutumika hapa chini hii ni kutokana na wataalamu mbalimbali wa maingira kubainisha kuwa matumizi ya mifuko hiyo huongoza katika suala la uchafuzi wa mazingira. Na Thadei Tesha. Wafanyabiashara jijini Dodoma wametakiwa kuendelea kutunza mazingira kwa…