Radio Tadio

NIDA

2 October 2025, 11:05 am

Wakazi Mjelo waomba suluhisho la kisima cha maji

Hali hiyo inatokea zaidi ya miaka mitano tangu kuanzishwa kwa mradi mkubwa wa kisima cha maji, ambao ulitarajiwa kumaliza tatizo la uhaba wa maji safi na salama katika vijiji vya kata hiyo. Picha na RUWASA. Wameeleza kuwa hali hii imeendelea…

18 July 2025, 4:31 pm

Wananchi zaidi ya laki moja kunufaika na mradi wa maji Mbulu

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2025, Ismail Ali Ussi, ameeleza kuridhishwa na namna RUWASA inavyosimamia utekelezaji wa mradi huo. Na Kitana Hamis.Jumla ya wananchi 133,737 kutoka viji 21 vya Halmashauri ya wilaya ya Mbulu wanatarajia kunufaika…

28 October 2023, 14:10 pm

Zoezi la ugawaji vitambulisho vya NIDA lazinduliwa

Wananchi wote ambao hawajasajiliwa kufika kwenye ofisi hizo kwa ajili ya kupata utaratibu awali kwa ajili ya kusajiliwa ili na wao waweze kupata vitambulisho hivyo kama wengine Na Musa Mtepa; Mkuu wa mkoa wa Mtwara Kanali Ahmadi Abasi, Oktoba 27,2023…

5 June 2023, 6:16 pm

NIDA, shirika la Posta waingia ubia usambazaji vitambulisho

NIDA imeingia ubia na shirika la Posta katika zoezi la usambazaji wa vitambulisho. Na Bernadetha Mwakilabi. Wananchi wametakiwa kuzingatia matumizi sahihi ya vitambulisho vya taifa (NIDA) ikiwa ni njia pekee ya kufanikisha lengo la serikali la kuboresha utoaji wa huduma…

17 May 2023, 3:03 pm

NIDA yatoa vitambulisho 62,258 Kongwa

Changamoto wanazopitia wananchi katika vitambulisho vya Taifa ni pamoja na kushindwa kutimiza vigezo na masharti ya kujaza fomu za kuomba vitambulisho hivyo hali inayopelekea ofisi kushindwa kufanya kazi yake kwa ufanisi. Na Bernadetha Mwakilabi. Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa (NIDA)…