Malaria
20 December 2023, 4:15 pm
Wananchi Katavi waaswa juu ya matumizi holela ya dawa za kuzuia mbu
Wananchi Katavi wameeleza mbinu wanazozitumia katika kuzuia na kupambana na ugonjwa wa malaria. Na Gladness Richard – Mpanda Wananchi Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameeleza mbinu wanazozitumia katika kuzuia na kupambana na ugonjwa wa malaria katika msimu huu wa mvua.…
November 3, 2023, 9:19 am
DC Ileje aagiza wananchi waelimishwe matumizi sahihi ya vyandarua
Na Denis Sinkonde, Ileje Wataalam wa afya na viongozi wa serikali wilaya ya Ileje mkoa wa Songwe wameagizwa kutoa elimu kwa wananchi juu ya matumizi sahihi ya vyandarua vyenye dawa ili wajiepushe kutumia kutengenezea bustani za mbogamboga na kuvulia samaki.…
14 September 2023, 11:40 am
Wananchi wafunguka juu ya ukamilishaji dozi ya maralia kwa usahihi
Mgonjwa wa maralia anapaswa kukamilisha dozi ya Malaria ambayo anapatiwa na mtaalamu wa afya Ambapo kutamsaidia kumaliza vimelea vya maambukizi ya maralia Na John Benjamin – Mpanda Wananchi halmashauri ya manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi wametoa maoni namna wanavyoelewa…
2 February 2023, 1:48 pm
Serikali yafanikiwa kupunguza maambukizi ya Malaria Jijini Dodoma
Halmashauri ya Jiji la Dodoma imefanikiwa kupunguza maambukizi ya Malaria kutoka asilimia 1.4 hadi kufikia asilimia 1.01 mwaka 2022. Na Alfred Bulahya Hayo yamebainishwa na mratibu wa malaria kutoka halmashauri ya jiji la Dodoma Bw, Gasper Kisenga wakati akizungumza na…
14 February 2022, 5:54 pm
Sera ya Taifa ya mwaka 2021 yazinduliwa
Na; Thadei Tesha. Kufuatia hivi karibuni mkamu wa Rais Mh Philip Mpango kuzindua sera ya taifa ya mazingira ya mwaka 2021 jijini hapa baadhi ya wananchi jijini hapa wameipongeza serikali kwa kuendela kuhamasisha suala la utunzaji wa mazingira katika jamii.…