Radio Tadio

makete

11 Disemba 2025, 5:19 um

Umuhimu wa milima katika mazingira

Na Farashuu Abdallah.Kila Desemba 11 ni maadhimisho ya Siku ya Milima Duniani ambayo lengo lake ni kuhamasisha ulimwengu kuhusu umuhimu wa milima kwa maisha ya binadamu, mazingira na maendeleo endelevu. Farashuu Abdallah amezungumza na baadhi ya wananchi mkoani Dodoma ili…