Radio Tadio

Maadhimisho

16 January 2024, 14:42

Polisi Mbeya yaadhimisha ‘police family day’

Na mwandishi wetu Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeadhimisha “Police Family Day” kwa kushiriki shughuli mbalimbali na michezo na familia zao. Akifungua sherehe za maadhimisho ya “Police Family Day” Januari 12, 2024 katika uwanja wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia…

12 December 2023, 9:12 pm

Wananchi Hai watakiwa kuandaa mazingira ya kudhibiti ukatili

Wananchi Hai wametakiwa kuwajibika kuzuia ukatili wa kijinsia katika jamii. Na Anasta Urio Wananchi wilayani Hai mkoani Kilimanjaro wametakiwa  kuandaa mazingira ya kudhibiti  vitendo vya ukatili katika jamii  bila kujali siasa, dini pamoja na ukabila  ili kuhakikisha kila mtu anawajibika …

2 December 2023, 08:33

Serikali kuboresha miundombinu ya huduma za afya

Na Kelvin Lameck Serikali imesema itaendelea kuboresha miundombinu ya utoaji wa huduma za afya sambamaba na kutoa elimu kwa Wananchi ikiwa ni hatua ya kukabiliana na kupunguza maambukizi ya ugonjwa wa Ukimwi. Hayo yamesemwa na mkuu wa Wilaya ya Mbarali…

2 December 2023, 07:17

Pimeni afya zenu ili muishi vizuri

Na Hobokela Lwinga Jamii mkoani mbeya imeombwa kujitokeza kwenye hospitali vituo vya afya, na zahanati kupima maambukizi ya virusi vya ukimwi na kuanza matumizi ya dawa za kufubaza virusi mara moja hasa mhusika agundulikapo kuwa na maambukizi ili kuendelea kuijenga…

13 September 2023, 11:59 pm

Maadhimisho ya 12 ya Mto Mara yazinduliwa rasmi leo

Mamlaka za serikali na wadau wengine wa Mazingira wametakiwa kudhibiti matumizi ya maji yasiyoendelevu na kudhibiti vyanzo vya maji ili kuulinda Mto Mara Na Edward Lucas Maadhimisho ya 12 ya siku ya Mto Mara yamezinduliwa rasmi leo katika Viwanja vya…