Radio Tadio

Kiswahili

29 May 2026, 17:52

Watumiaji wa nishati watakiwa kuwa na nidhamu ya matumizi

Ni vizuri kubadili tabia ya matumizi yasiyofaa ya umeme kutokana na umeme mwingi kupotea bila sababu. Na Jerome John. Watumiaji wa nishati ya umeme nchini wametakiwa kubadili tabia ya utumiaji wa nishati holela kwa kupunguza matumizi ya nishati hiyo. Wito…

7 July 2023, 14:58

Lugha ya kiswahili ni fursa ya kiuchumi duniani

Mamlaka zinazoshughulikia masuala ya ajira ikiwemo Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu zimetakiwa kuhakikisha kuwa wanaandaa na kuratibu mipango ya kutafuta nafasi za kufundisha lugha ya Kiswahili katika Nchi mbalimbali ili Watanzania waweze kwenda kutumia fursa…