Radio Tadio

kifungo

12 December 2024, 4:55 pm

Kausha damu yatajwa kuumiza familia za wakopaji

Wakopaji wengi hawana elimu juu ya matumizi sahihi ya mikopo hiyo. Na mwandishi wetu.Baadhi ya wananchi Jijini Dodoma wamesema mikopo umiza maarufu kama kausha damu inalenga kusaidia mahitaji muhimu ingawa wakopaji wengi hawana elimu juu ya matumizi sahihi ya mikopo…

2 December 2024, 11:47 am

Serikali kutoa mikopo kwa vikundi 22 Mpwapwa

Akifungua uzinduzi huo Mkuu wa wilaya ya Mpwapwa Dkt Sophia Kizigo amesema Na Steven Noel.Miongoni mwa maadui watatu wa TAIFA hili tangu tupate uhuru ni ujinga ,umaskini na maradhi Ili kuhakikisha maadui hawa wanatoweka serikali imeweka mipango mbali mbali Ili…

22 November 2024, 12:08 pm

Watu wenye ualbino waomba kipaumbele mikopo ya 2%

Mikopo hiyo itawasaidia kazi katika mazingira rafiki na kujikinga  na ugonjwa wa saratani ya ngozi .Picha na Steven Noel. Na Steven Noel. Watu wenye ualbino wilayani Mpwapwa wameiomba halmashauri ya wilaya hiyo kuwapa kipaumbele Katika mikopo ya asilimia 2  ili…

23 September 2024, 8:43 pm

Mikopo asilimia 10 ni salama kwa wajasiriamali

Na Steven Noel. Wajasiriamali Wilayani Mpwapwa wameshauriwa kuwa makini wakati wa kutafuta na kuomba huduma za mikopo kutoka katika taasisi mbalimbali ili kuepukana na chamgamoto za marejesho zinazoweza kujitokeza kuhusiana na masharti ya mikopo hiyo. Aidha  baadhi ya wakazi wilayani…

21 April 2022, 10:22 am

Wanawake Ilazo waiomba serikali kuwapatia elimu ya mikopo

Na; Shani Nicolous. Wanawake wa mtaa wa Ilazo jijini hapa wameiomba serikali na taasisi za mikopo kutoa elimu juu ya matumizi sahii ya mikopo hiyo. Wakizungumza na Taswira ya habari wanawake hao wamesema kuwa mikopo huenda inatolewa lakini mwitikio ni…