Radio Tadio

Dawa

24 April 2024, 6:32 pm

Jamii yatakiwa kuendelea kupiga vita vitendo vya ukatili

Afisa Ustawi wa jamii wanazungumzia vyanzo vya ukatili na jinsi ya kuepukana na vitendo hivyo. Na Steven Noel.Jamii imeshauriwa kuendelea kupiga vita vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa makundi yote Ili kuweza kuwa na Taifa lenye amani na maendeleo. Hayo…

10 August 2023, 12:45 pm

Jamii yatakiwa kuondokana na matumizi holela ya dawa

Kwa Mujibu wa Mtaalamu Teobad Abdon ameeleza kuwa matumizi holela ya dawa husababisha madhara katika mwili wa binadamu ikiwemo matumizi ya dawa ambazo sio za ugonjwa husika. Na Diana Massae.                                                                                       Jamii imetakiwa kuondokana na matumizi holela ya dawa bila…

24 February 2023, 4:20 pm

Ukosefu wa Dawa katika Zahanati ya kijiji cha Champumba

Licha ya kupata huduma katika zahanati ya kijiji cha Champumba wilayani Chamwino lakini bado kasi ya upatikanaji dawa imekuwa ni ndogo. Na Victor Chigwada. Ukosefu wa Dawa katika Zahanati ya kijiji cha Champumba wilayani Chamwino imetajwa kuwa sababu ya wananchi…