Bongoflava
23 Oktoba 2025, 11:29 mu
Madereva waaswa kuzingatia weledi
“Udereva ni taaluma kama taaluma nyingine na ni vyema wakazingatia weledi wanaootekeleza majukumu yao” Na Adelphina Kutika Madereva wa Magari ya Masafa marefu ndani na nje ya Tanzania wametakiwa kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia msingi kama ya Jeshi la Polisi…
23 Oktoba 2025, 10:25 mu
Abiria waaswa kukata Tiketi halali za Mabasi
Na Noela Nyalusi Jeshi la Polisi Kikosi Cha usalama Barabarani Mkoa wa Iringa limewataka abiria wanaosafiri kwenda mikoani kukata tiketi katika kampuni husika ili kuepuka kulipa kiasi kikubwa tofauti na bei elekezi. Hayo yamezungumwa na Afisa Usalama barabarani wilaya ya…
18 Oktoba 2025, 8:56 mu
Takukuru yawanoa wanahabari Iringa
“Wanahabari wakielimishwa kuhusu rushwa watatusaidia kutoa elimu kwa wananchi” Swela Na Joyce Buganda na Adelphina Kutika Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Iringa imeendesha mafunzo maalum kwa waandishi wa habari ili kuwajengea uwezo wa kuelimisha jamii…
15 Oktoba 2025, 3:59 um
Maafisa Dodoma wapatiwa mafunzo ya uwekezaji
Mafunzo kwa Maafisa Viwanda na Uwekezaji mkoani Dodoma yamelenga kuongeza ufanisi na kupunguza urasimu katika utoaji wa huduma kwa wawekezaji kupitia matumizi ya mifumo ya kisasa ya usajili wa makampuni na biashara. Na Lilian Leopold. Maafisa Viwanda na Uwekezaji kutoka…
9 Oktoba 2025, 5:17 um
Wanawake, vijana na wenye ulemavu wapata elimu ya mikopo
Picha ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Khatibu Kazungu, wakati akifungua mafunzo kwa vikundi , katika ukumbi wa Nala Hotel, Jijini Dodoma. Picha na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa.Dkt. Kazungu amesema mafunzo hayo yanalenga kuongeza ujuzi na maarifa…
6 Oktoba 2025, 2:30 um
Jamii yahimizwa kujitokeza kupima saratani ya matiti mapema
Saratani ya matiti inaweza kutibika iwapo itagundulika mapema. Njia za kuzuia ni pamoja na kujichunguza mara kwa mara, kupima kliniki, kuishi maisha yenye afya, na kuepuka vihatarishi kama vile unywaji wa pombe kupita kiasi na uvutaji wa sigara. Na Asha…
2 Oktoba 2025, 1:23 um
Vikundi vyaelimishwa matumizi ya NeST, Dodoma
Kupitia mfumo wa NeST, vikundi vya kijamii sasa vinaweza kushiriki kikamilifu katika manunuzi ya serikali kupitia usajili mtandaoni, kuomba zabuni, na kufuatilia hatua za maombi yao. Na Lilian Leopold . Halmashauri ya Jiji la Dodoma imefanya kikao na vikundi mbalimbali…
23 Septemba 2025, 8:30 um
DC Sitta; Lindeni miundombinu ya shule
Bweni hilo litasaidia wanafunzi kupata Muda wa kusoma na kuongeza ufaulu. na Joyce Buganda Walimu wilaya ya Iringa wametakiwa kuhakikisha wanawasimamia ipasavyo wanafunzi kulinda na kutunza miundombinu ya shule. Akizungumza wakati wa ukaguzi wa mabweni katika Shule ya Sekondari William…
Septemba 18, 2025, 6:20 mu
Auwawa kisa ushabiki wa Simba na Yanga Songwe
Na Denis Sinkonde,Songwe Jeshi la Polisi mkoani Songwe linamtafuta Evacery Mwaweza mkazi wa Kitongoji cha Ululu kiijiji cha Idiwili kata ya Idiwili wilayani Mbozi mkoani Songwe kwa tuhuma za kusababisha kifo cha Zabroni Mwambogolo (28) mkazi wa kitongoji hicho wakati…
10 Septemba 2025, 12:02 um
Wanafunzi la saba watakiwa kujiamini
Mtihani wa kumaliza elimu ya Msingi unafanyika kuanzia leo Septemba 10 hadi Septemba 11, 2025 Na Noela Lucas na Stephen Gerald Ikiwa wanafunzi wa Darasa la 7 Nchini wameanza kufanya mitihani ya kuhitimu elimu ya Msingi, wananchi Manispaa ya iringa…