Afya.
23 August 2024, 2:10 pm
Vitambulisho 528 vya NIDA vyakwama ofisi ya mtendaji Bunda mjini
Wananchi watakiwa kuepuka kutoa namba zao za NIDA ovyo ili kuepuka changamoto ya kutumika vibaya kwa namba hizo. Na Gaudensia Zakayo Jumla ya vitambulisho 528 vya taifa (NIDA) havijachukuliwa katika kata ya Bunda mjini. Hayo yamesemwa na Mtendaji wa kata…
29 July 2024, 7:59 am
Afariki baada ya kujeruhiwa na kiboko akivua samaki ziwa Victoria
Matukio ya watu kujeruhiwa na wanyama wakali wanaoishi majini yamekuwa yakijitokeza mara kwa mara kwa wakazi wanaoishi kadokando na kufanya kazi ndani ya Ziwa Victoria ambapo wamekuwa wakiiomba Serikali kupitiwa TAWA kuongeza juhudi za kuwawida wanyama hao hasa Kiboko na…
July 24, 2024, 11:00 am
Aliyebaka mwenye ulemavu ahukumiwa kwenda jela miaka 30
Hakimu wa mahakama ya wilaya ya Babati Martin Masao amesema mnamo februari 6, 2024 Ramadhan Idd Kipusa alimbaka na kumlawiti binti wa miaka 19 ambaye ni mwenye ulemavu wakati mama mzazi wa binti huyo akiwa njiani kuelekea dukani kupeleka maandazi.…
22 July 2024, 15:27
Wananchi kunufaika na kilimo cha umwagiliaji mto Luiche Kigoma
Na, Emmanuel Michael Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amewataka wananchi katika kata ya Kagera Manispaa ya Kigoma Ujiji mkoani Kigoma kutouza ardhi yao ya kilimo katika Bonde la Mto Luiche ambalo limekuwa kitovu cha uchumi wao baada ya serikali kukabidhi…
19 July 2024, 5:05 pm
Wakazi Narusunguti wilayani Bukombe wajengewa zahanati
Zaidi ya milioni 100 kutoka mfuko wa TASAF wilaya ya Bukombe zimesaidia ujenzi wa jengo la Zahanati ya kijiji cha Narusunguti kilichopo kata ya Busonzo hapa mkoani Geita. Na: Evance Mlyakado – Geita Ujenzi wa zahanati hiyo ni kufuatia adha…
July 3, 2024, 4:25 pm
Mzee wa miaka 78 ambaka binti mlemavu wa miaka 10
Baada ya mzee wa miaka 78 kumbaka binti wa miaka kumi mwenye ulemavu wilayani Babati mkoani Manyara jeshi la polisi limesema linaendelea na uchunguzi wa tukio hilo kutokana na matukio mengi kama hayo kutokea katika mkoa wa Manyara. Na…
25 June 2024, 06:59
DC Songwe akemea wanaoendekeza ushirikina
Kutokana na changamoto za mmonyoko wa maadili ulimwenguni wakristo wameombwa kuendelea kuombea watu wanaojihusisha na vitendo vya kishirikina ikiwemo ubakaji watoto na ushoga. Na Ezra Mwilwa Mkuu wa wilaya ya Songwe Mhe. Solomon Itunda amemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Songwe…
20 June 2024, 18:48
Kwaya kuu kanisa la Moravian jimbo la kusini magharibi wafanya ziara Uswiss
Baadhi ya Wanakwaya ya Wawakilishi Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi wakiwa nchi ya Uswiss Na Ezekiel Kamanga Makamu Mwenyekiti wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi Mchungaji Asulumenye Ever Mwahalende ameongoza Kwaya ya Jimbo katika…
11 June 2024, 11:26
Askofu Pangani:lindeni amani ya kanisa na Taifa
Kila mwananchi anawajibu wa kuendelea kulinda taifa lake kwa kulinda amani, kuanzia katika ngazi ya familia Na Hobokela Lwinga Askofu wa kanisa la Moraviani Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi Mhashamu Robert Pangani amewataka wakristo wote kuilinda Amani ya kanisa na…
3 June 2024, 12:54
Serikali yaombwa kubadili mfumo wa udahili wanafunzi vyuo vya elimu ya juu
Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini magharibi limepata askofu mpya baada ya kustaafu kwa aliyekuwa askofu wa Jimbo hilo Dkt.Alinikisa Cheyo. Na Hobokela Lwinga Askofu mpya wa Kanisa la Moraviani Tanzania Jimbo la kusini magharibi Robert Pangani ameiomba serikali…