Radio Tadio

afya

16 November 2024, 23:39 pm

Lindi mwambao wauza korosho tani 1,896 mnada wa sita

Mnada huo ambao umeendeshwa kwa njia ya mtandao kwa usimamizi wa soko la bidhaa Tanzania TMX, umefanya korosho zilizouzwa nchini matika msimu huu wa 2024/2025 kufikia Tani 310,000. Na Mwandishi wetu Chama Kikuu cha Ushirika LINDI MWAMBAO kimeumza jumla ya…

7 November 2024, 22:16 pm

Kamati ya usalama Mtwara yafanya ukaguzi bandarini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Daktari Samia Suluhu Hassani alipofanya ziara mwaka jana aliagiza viongozi wa mkoa na taifa kwa ujumla kuhakikisha korosho zote zinazo zalishwa katika mikoa ya Kusini Lindi,Mtwara na Ruvuma zote zinasafirishwa kupitia Bandari ya…

21 October 2024, 15:39

Kanisa la Moravian lamuaga rasmi Mch. Mbotwa

Kama ilivyo utaratibu wa kikatiba ya kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini magharibi kila mchungaji anayefikisha umri wa miaka 60 huwa anastaafu. Na Deus Mellah Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusin Magharibi wilaya ya Mbeya limemuaga Mwenyekiti wao…

11 October 2024, 15:50 pm

TANECU yauza korosho tani 3,857 kwa  Tsh 4,120

Mnada wa leo wameshindana makampuni 37 na korosho zote zilizouzwa zimenunuliwa na makampuni 10 hivyo makampuni 27 yamekosa korosho maana yake ni kwamba kunauhitaji wa korosho duniani na beii hii  ni kutokana  dunia ina uhitaji mkubwa wa korosho karanga na…

3 October 2024, 12:48 pm

TANECU kuwakomboa wakulima wa korosho Mtwara

Kiwanda hiki kinakadiriwa kuwa na thamani ya shilingi bilioni 3.4 huku kikitarajiwa kubangua tani 3,500 za korosho kwa mwaka. Na Musa Mtepa Wakulima wa korosho katika wilaya za Tandahimba na Newala mkoani Mtwara wameonesha furaha yao kuhusu ujenzi wa kiwanda…

2 October 2024, 23:45 pm

Bashe azindua kiwanda cha kubangua korosho Mtwara

Takribani Bilioni 3.4 inaelezwa kuwa zimetumika kujenga kiwanda hicho huku ikikadiriwa kuwa na uwezo wa kubangua korosho tani 3,500 kwa mwaka Waziri wa Kilimo, Mh. Hussein Bashe, amezindua rasmi kiwanda cha kubangua korosho cha Chama Kikuu cha Ushirika cha Tandahimba,…