Storm FM

wizi

13 October 2025, 10:55

Zitto aahidi kuifanya Kigoma kuwa kitovu cha biashara

Chama cha ACT Wazalendo kimesema kitaendelea kuwatetea wananchi wa Kigoma hususani wenye changamoto ya kupata vitambulisho vya uraia, kuboresha miundombinu ya barabara za mitaa na kuufanya mji wa Kigoma kuwa wa kimkakati Na Mwandishi wetu Mgombea ubunge katika Jimbola Kigoma…

10 October 2025, 8:54 am

Dkt. Samia awataka wanabunda kutafakari maamuzi ya kisiasa

Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka Wananchi wa Bunda kutafakari kabla ya kufanya maamuzi ya kisiasa. Na Adelinus Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka Wananchi wa Bunda kutafakari…

3 October 2025, 1:39 pm

DP yaahidi mtaala mpya wa elimu

Mgombea urais kupitia DP Abdul Juma Mluya aahidi serikali ya DP itarekebisha mtaala wa elimu ili kuendana na teknolojia ya sasa. Na Teddy Thomas Chama cha Democratic Paty DP kimesema endapo kitapa ridhaa ya kuiongoza serikali ya Jamhuri ya muungano…

September 26, 2025, 9:07 am

EFAD yagusa maisha ya watoto Songwe

Kupunguza utoro shuleni na kuongeza utulivu wa watoto shuleni Na Devi Mgale Shirika lisilokuwa la kiserikali la Elisha Youth Support Foundation (EFAD) lililopo wilaya ya Mbozi mkoa wa Songwe limetoa kilo 420 za Mahindi kwa watoto wanaoishi mazingira magumu katika…

25 September 2025, 11:31 pm

Wananchi Bunda watakiwa kujivunia uongozi wa kitaifa

Katibu wa NEC Uchumi na Fedha wa CCM Taifa, Ndg. Joshua Chacha Mirumbe awaomba wananchi kumuunga mkono Dkt. Samia kwa kura, pamoja na mgombea mwenza Dkt. Emmanuel Nchimbi, mgombea ubunge Ndg. Boniphace Getere na wagombea udiwani wa CCM. Na Thomas…

25 September 2025, 9:40 am

Mirumbe: CCM imeandaa ilani kila mkoa na hitaji lake

Ilani ya mkoa ya mkoa wa Mara imegusia mambo yote muhimu ikiwemo, afya, maji na miundombinu mingine. Na Thomas Masalu Katibu wa NEC wa Uchumi na Fedha wa CCM Taifa, Ndg. Joshua Chacha Mirumbe, amewakumbusha wanachama wa Chama Cha Mapinduzi…