Storm FM
Storm FM
18 December 2025, 12:16 pm
Kilimo cha parachichi kimetajwa kuwa mkombozi kwa kuimarisha kipato cha vijana. Na Adelphina Kutika Serikali ya Mkoa wa Iringa imewahimiza vijana kuchangamkia fursa za kilimo cha parachichi kama njia ya kujipatia ajira, kipato na kuboresha maisha yao. Akizungumza wakati wa…
8 December 2025, 9:00 pm
“Kilimo hicho kitasaidia kuandaa mashamba bora kutokana na hali ya hewa kwa wakati huo” Na Adelphina Kutika Wasichana wanaofadhiliwa na Shirika la Camfed (WANACAMA) wanaojihusisha na kilimo biashara mkoani Iringa wamejengewa uwezo wa kulima kilimo kutokana na mabadiliko ya tabia…
2 December 2025, 10:38 am
Na Joyce Buganda Tanzania inatarajiwa kunufaika na fedha hadi dola million 20 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi kupitia mfuko wa kukabiliana na hasara na uharibifu. Nuru FM imekuandalia makala hii maalum…
18 November 2025, 11:41 am
Mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, maarufu kamaConference of the Parties — COP 30, unaendelea huko Belem nchini Brazil, ambapoTanzania ikiwa imewasilisha agenda kumi na mbili. Na Joyce Buganda Nuru Fm imekuandalia makala fupi kuhusu athari zinazowakumba…
8 November 2025, 9:32 pm
Na Mary Julius. Katika kuhakikisha wanafunzi wanapata elimu bora, walimu wametakiwa kutumia mitaala mipya ya elimu ufuili kuwawezesha wanafunzi kupata maarifa na ujuzi utakaowaandaa kwa maisha ya baadae. Akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Magharibi “A”, Afisa Elimu…
8 October 2025, 6:07 pm
Hifadhi hiyo inajivunia kuwa na fukwe za mazalia ya samaki zenye urefu wa zaidi ya kilometa 150 hali ambayo inakifanya kisiwa hicho kuwa za kipekee Na Mrisho Sadick: Idadi ya watalii wanaotembelea Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo kilichopo…
8 October 2025, 5:30 pm
Kwa sasa hifadhi hiyo inaendelea kuboresha huduma za utalii, ikiwa ni pamoja na usafiri wa majini, malazi ya kisasa na shughuli za uhamasishaji wa utalii wa ndani. Na Mrisho Sadick: Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo iliyopo wilayani Chato…
5 October 2025, 8:27 am
Na Ivan Mapunda. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema itaendelea kuwekeza kwa kiwango kikubwa katika sekta ya elimu ili kuhakikisha taifa linafikia malengo ya Dira ya Maendeleo ya 2050. Akizungumza katika mahafali ya tano ya Turkish Maarif Kindergarten yaliyofanyika Mombasa,…
27 September 2025, 7:50 pm
Na Wilson Makalla Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha amekabidhi magari matatu kwa Halmashauri za Manispaa ya Tabora, lgunga na Sikonge, hatua inayolenga kuongeza ufanisi wa viongozi katika kutekeleza majukumu yao ya kila siku. Akizungumza katika hafla ya makabidhiano,…
27 September 2025, 7:14 pm
“Serikali inaendelea kushirikiana kwa karibu na wananchi kuhakikisha ulinzi na usalama unaimarishwa sambamba na kuweka mazingira bora ya biashara na uwekezaji”, Paul Chacha. Na Wilson Makalla Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha amewataka wafanya biashara ndogondogo Mkoani Tabora kujiweka…