Storm FM

ukatili

27 November 2025, 5:36 pm

‘Utabiri wa jadi unalipa’

Zamani tulikuwa hatufuatilii utabiri wa hali ya hewa, wakati mvua zinanyesha sisi tunaandaa mashamba , mvua ikikata sisi tunapanda matokeo yake mbegu zashambuliwa na wadudu lakini sasa hivi tunafuatilia utabiri na tunavuna vizuri, ahsanteni CAN TZ. Na Cosmas Clement Elimu…

19 November 2025, 5:41 pm

SMZ yaongeza nguvu kukuza lugha ya alama Zanzibar

Na Mary Julius. Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imesisitiza dhamira yake ya kuimarisha utoaji wa huduma jumuishi kwa watu wenye ulemavu, hususan katika kukuza na kusambaza matumizi ya lugha ya alama kwenye sekta mbalimbali. Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Wakalimani…

17 November 2025, 4:57 pm

SHIJUWAZA: Tunaomba ushirikiano maadhimisho ya watu wenye ulemavu

Mkurugenzi wa Shirikisho la Jumuiya za Watu Wenye Ulemavu Zanzibar  (SHIJUWAZA) Ali Machano ameiomba jamii kushiriki kikamilifu katika shughuli mbalimbali zilizoandaliwa na jumuiya hiyo kuelekea maadhimisho ya Siku ya Watu Wenye Ulemavu Duniani. Ameeleza kuwa mafunzo maalum yameandaliwa, ambayo yataisaidia…

10 November 2025, 10:18 am

Tanzania yaweka kipaumbele jinsia na tabianchi COP30

Wadau wa maendeleo wanaaswa kuwekeza katika elimu, teknolojia rafiki kwa mazingira, na miradi ya kiuchumi itakayowawezesha wanawake kuwa sehemu ya suluhisho la mabadiliko ya tabianchi. Na Abdunuru Shafii Wanawake wa wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma wameendelea kukabiliwa na athari kubwa…

6 November 2025, 5:12 pm

Wenye ulemavu wajivunia kushiriki uchaguzi kwa amani Zanzibar

Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) iliweka mipango bora iliyowezesha watu wenye ulemavu kushiriki kikamilifu katika uchaguzi mkuu kwa amani na bila ya vikwazo vyovyote. Na Ivan Mapunda. Mwenyekiti wa Umoja wa Watu Wenye Ulemavu Zanzibar, Abdulwakili H. Hafidhi, ameipongeza…

18 October 2025, 4:08 am

Martha (44) akiri kumuua kisha kumzika mume wake chumbani

“Uchunguzi wa awali umebaini kuwa chanzo cha tukio hilo ni mgogoro wa kifamilia” – SACP Safia Jongo Na: Ester Mabula Jeshi la Polisi mkoa wa Geita linamshikilia mwanamke mmoja aitwae Martha Japhet (44) mkulima na mkazi wa kitongoji cha Mzalendo,…