Storm FM

stormFM

15 April 2021, 5:50 pm

Watoa huduma ya chakula mitaani watakiwa kuvaa sare Geita

Na Kale Chongela: Watoa huduma ya chakula katika halmashauri ya mji wa Geita wametakiwa kuvaa mavazi maalum wakati wa biashara pamoja na kofia kwa ajili ya kuimarisha usafi  ili kuendelea kulinda afya za wateja wanaowahudumia. Wito  huo umetolewa  na Afisa…

14 April 2021, 7:16 pm

Matundu 12 ya Vyoo kuondoa changamoto

Na Paul Lyankando: Wananchi katika kijiji cha ikunguigazi wilayani mbogwe mkoani geita wamekamilisha ujenzi wa matundu 12 ya vyoo vya kisasa katika shule ya msingi ikunguigazi ili kunusuru zaidi ya wanafunzi 899 kujisaidia hovyo. Akizungumza mara baada ya kukamilika kwa…

14 April 2021, 6:52 pm

Marufuku kubeba watoto kwenye Matanki ya mafuta Geita

Na kalechongela: Wananchi  Geita wameiomba serikali ya mkoa wa  kupitia  kitengo cha usalama barabarani  kudhibiti suala na ubebaji wa watoto kwenye matanki ya mafuta kwenye pikipiki. Hayo yameelezwa na baadhi ya wakazi wa Geita  wakati wakizungumza na Storm FM  nakusema…

14 April 2021, 6:36 pm

Mama arudishwa kwao kisa kajifungua mtoto mwenye matatizo

Na  Joel Maduka: Mwanaume anaejulikana kwa jina la LEORNARD MFI mwenye (24) mkazi wa Kata ya Kaseme Wilayani Geita anadaiwa kumrudisha mke wake nyumbani kwao kwa sababu ya kujifungua mtoto mwenye ugonjwa wa kichwa kujaa maji. Mtoto huyo mwenye umri…

14 April 2021, 4:02 pm

Wafugaji wakaidi kuchukuliwa hatua kali Geita

Na Kale Chongela Serikali ya mtaa wa Tambukareli kata ya kalangalala Halmashauri ya mji wa Geita  imeanza utekelezaji wa kuwachukulia hatua kali wafugaji ambao hawazingatia  taratibu na kanuni za ufugaji maeneo ya mjini. Mwenyekiti wa serikali ya mtaa huo Bw Mabula…