Storm FM

miundombinu

October 27, 2025, 2:43 pm

JMAT mkoa wa Manyara wamekutana kuombea Taifa

Picha ya viongozi wa jumuiya ya maridhiano na amani mkoa wa Manyara wakiwa kwenye maombi maalim ya kuliombea Taifa kuelekea uchaguzi mkuu Kumefanyika mkutano wa kuliombea Taifa la Tanzania ili amani izidi kudumu hasa kwa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi…

22 October 2025, 5:27 pm

Huduma ugani yawapa changamoto wakulima

Wakulima wa kijiji cha Mhelule, kata ya Mwaya wilayani Kilombero wamelalamikia ukosefu wa msaada wa karibu kutoka kwa maafisa ugani, wakisema hawafiki mashambani kubaini changamoto zao. Maafisa wanasema idadi yao haitoshi kuwafikia wote, hivyo wakulima wanapaswa kuwafuata Na: Isidory Mtunda…

October 20, 2025, 2:38 pm

“wananchi jitokezeni kutimiza takwa la kikatiba”

Picha ya mkuu wa wilaya Emanuela Mtatifikolo kaganda Kuelekea uchaguzi mkuu wananchi Wilaya ya Babati wametakiwa kwenda kupiga kura ili kutimiza haki yao ya msingi Na Kudra Massaga Wito umetolewa kwa wananchi wa Wilaya ya Babati Mkoani Manyara kujitokeza kwa…

7 October 2025, 22:24 pm

Wanafunzi DIS waitembelea Jamii FM Mtwara

Wanafunzi wa Kidato cha Pili wa Dar es Salaam Independent School wametembelea Jamii FM Radio Mtwara kujifunza kuhusu vyombo vya habari na athari za mitandao ya kijamii , ikiwa ni sehemu ya somo la Mtazamo wa Kidunia (Global Perspective). Na…

7 October 2025, 5:16 pm

Maisha Meds, Wizara ya Afya waungana huduma za macho Zanzibar

Na Mary Julius. Katika kuadhimisha Siku ya Uoni Hafifu Duniani, Wizara ya Afya Zanzibar kwa kushirikiana na Maisha MedsnaPondeza Foundation wameandaa zoezi maalumu la upimaji wa macho litakalofanyika katika Jimbo la Chumbuni na Jimbo la Mtoni. Zoezi hilo la siku…

1 October 2025, 17:56 pm

Umuhimu wa wanandoa kushiriki elimu ya uzazi wa mpango

Karibu usikilize makala maalum ya dakika 13 inayoangazia Umuhimu wa wanandoa kushiriki elimu ya uzazi wa mpango.Makala hii imeandaliwa kwa ushirikiano kati ya Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) na shirika la WELLSPRING, linalotekeleza mradi wa kutoa elimu…

26 September 2025, 16:10 pm

Watoto kuacha shule chanzo viashiria vya uvunjifu wa amani

Mdondoko wa wanafunzi na ukatili wa kijinsia vyatajwa kuchangia ongezeko la vitendo vinavyohatarisha amani katika jamii , huku wazazi wakilaumiwa kwa kulegeza majukumu ya malezi na ufuatiliaji wa watoto wao Na Musa Mtepa Mtwara, Septemba 24, 2025 – Ukatili wa…

26 September 2025, 11:03 am

THBUB yatoa mafunzo kwa wanahabari Mtwara

Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora imetoa mafunzo kwa waandishi wa habari mkoani Mtwara, ikiwataka kuzingatia maadili ya taaluma, haki za binadamu na misingi ya utawala bora, hasa kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025. Waandishi wameahidi kutumia mafunzo…