Storm FM

elimu

5 December 2025, 2:25 pm

Ufaulu darasa la saba Nyang’hwale wapaa

Changamoto zilizokuwa kikwazo mwaka Jana ikiwemo wazazi kuwalazimisha watoto kufeli, ukosefu wa chakula shuleni pamoja na baadhi ya wadau kutowajibika ipasavyo. Na Mrisho Sadick: Ufaulu wa mtihani wa darasa la saba katika Wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita umeongezeka kutoka asilimia…

1 December 2025, 2:14 pm

Serikali kusimama na vijana waliohitimu VETA Geita

Changamoto mbalimbali zinazokabili chuo hicho ikiwemo ukosefu wa uzio unaohatarisha mali za chuo, upungufu wa zana za kisasa za mafunzo. Na Mrisho Sadick: Taasisi za serikali na zile za binafsi wilayani Geita zimetakiwa kuwapa kipaumbele vijana waliohitimu mafunzo ya Ufundi…

30 November 2025, 5:33 am

Jumla ya wanafunzi 607 wafadhiliwa shule za WAJA

“Hata mimi nilikuwa kama nyie miaka 31 iliyopita, ni muhimu kuwa na nidhamu na kuishi katika ndoto zenu huku mkiwaheshimu watu wote kwenye Jamii” – RC Shigela Na: Ester Mabula Mkuu wa mkoa wa Geita Mhe. Martine Reuben Shigela amewataka…

November 20, 2025, 3:02 pm

Muziki wawaongezea utulivu Ng’ombe wakati wa kukamuliwa

Asajile amekuwa akiwasoma Ng’ombe wake tabia hii humsaidia kupata maziwa kwa wingi zaidi Na Anyisile Fredy MKAZI na mfugaji wa ng’ombe  wa maziwa mjini Vwawa Mbozi Mkoani Songwe, Mikaya Asajile amesema  amewagundua  ng’ombe wake kwamba wanapenda muziki wakati wa kukamuliwa.…

5 October 2025, 7:11 pm

Wananchi Mpanda walia na wachimba madini

Mkuu wa wilaya ya Mpanda Jamila Yusuph akitoa maelekezo kwa wawekezaji. Picha na John Benjamin “Kuanzia leo nafunga shughuli zote za uchimbaji” Na John Benjamin Wananchi wa Kijiji cha Mtisi wilaya ya Mpanda mkoani Katavi wamelalamikia uwepo wa wawekezaji  watatu…

3 October 2025, 5:35 pm

PM Majaliwa atoa maagizo walimu kurundikana mijini Geita

Mhe Majaliwa akiwa Bukombe amesema hakuna sababu ya walimu kurundikana mijini wakati vijijini kuna uhitaji mkubwa . Na Mrisho Sadick: Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ameiagiza wizara ya TAMISEMI kwa kushirikiana na Ofisi ya…

26 September 2025, 4:50 pm

Kilosa yaimarisha usawa wa kijinsia

Programu ya Kizazi chenye Usawa ni programu inayotekelezwa na Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa kupitia Idara ya Maendeleo ya Jamii, yenye lengo la kuhimiza usawa wa kijinsia katika nyanja zote za kijamii na kiuchumi na Programu hii inalenga kuwezesha wanawake…