Savvy FM
Savvy FM
06/05/2025, 14:00
Taharuki imetokea baada ya mwili wa marehemu kurudishwa mochwari mara mbili kabla ya kuzikwa. Na Michael Nanyaro Kundi la vijana wa bodaboda maarufu kama wadudu wilayani Arumeru jijini Arusha wamemrudisha mwenzao aliyefariki mochwari baada ya mwili kufikishwa nyumbani na familia,…
02/05/2025, 13:06
Takribani wananchi elfu kumi katika Kata ya Mbuguni Wilayani Arumeru Mkoani Arusha waliokuwa wakipata athari mbalimbali ikiwemo kupoteza makazi na maisha ya watu kutokana na bonde la Mto Nduruma kujaa maji wameanza kupata ahueni baada ya bonde hilo kudabuliwa. Na…
30/04/2025, 17:47
Shirika la soil for the feature linalojishughulisha na biashara ya hewa ukaa limewasafirisha baadhi ya wananchi na viongozi wa vijiji na kata katika Wilaya za Monduli na Longido hadi Kajiado nchini Kenya ili kupatiwa elimu ya namna ya biashara hiyo…
24/04/2025, 10:16
Halmashauri ya Arusha imetenga kiasi cha shilingi milioni 5.3 kwa ajili ya ukarabati wa jengo la zahanati ya Kijiji cha Engorora ambalo limekuwa likikabiliwa na nyufa kwa muda mrefu hali inayosababisha kituo hicho kutotoa huduma za usiku kutokana na wahudumu…
23/04/2025, 13:56
Kuelekea kilele cha siku ya maadhimisho ya kitaifa ya utoaji wa huduma za afya ya wanyama ambayo itafanyika April 26 mwaka huu,wadau na wafugaji wametakiwa kuacha tabia za kutumia dawa za ARV ili kunenepesha mifugo Na Mzidalifa Saidi. Akizungumza leo …
23/04/2025, 10:37
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt.Doto Biteko amewasili mkoani Arusha kwa ajili ya ziara ya kikazi ambapo atakagua miradi mbalimbali ikiwemo miradi ya maji . Na Mwandishi Wetu Akizungumza na wananchi wilayani Monduli wakati wa uzinduzi wa…
Savvy FM Proposal Summary
Future Goals
Expand digital footprint internationally.
Maintain financial sustainability through ethical business practices.
Continue to innovate in programming and community service.
Contact Info
Phone: +255 787877778
Email: info@savvygroup.co.tz
Web: www.savvymediagroup.co.tz
Savvy FM Proposal Summary
Address: Plot 455, Block ‘C1’, Umoja Road, Njiro, Arusha, Tanzania