Savvy FM
Savvy FM
July 3, 2025, 8:08 pm
Wazazi washauriwa kutokuwaficha watoto wenye ulemavu na badala yake wawape nafasi ya kupata elimu kwani wanahaki kama watoto wengine. Na Mariam Mallya Mwalimu wa Shule ya Msingi Uhuru iliyopo mkoani Arusha, Glory Urio akizungumza na Savvy Fm Mwalimu Urio amasema…
June 30, 2025, 11:57 pm
Serikali kutumia mizinga ya nyuki kukabiliana na tembo wavamizi na waharibifu wa mazao. Na Gasper Sambweti Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania TAWIRI iliyopo mkoani Arusha imeingia makubaliano ya miaka mitano na taasisi isiyo ya kiserikali ya Tembo Pilipili kwa…
June 19, 2025, 2:38 pm
“Wafugaji tujiwekeze kwenye elimu wenzetu wanaenda juu sisi tunarudi chini lazima tusome ufugaji unahitaji elimu” Na Mariam Mallya Diwani wa kata ya Endamily wilayani Mbulu katika mkoa wa Manyara na Mwenyekiti wa Bajuta International (T) Ltd, Gesso Bajuta amewataka vijana…
June 18, 2025, 5:25 pm
“Mipango ya ujenzi na miradi inayoendelea hii Makonda hakujanayo ni miradi ilikuwepo ili soko lilipaswa kujengwa na pesa ilitolewa toka 2021 shilingi millioni 500 pesa zimekaa kwenye akaunti”. Na Mariam Mallya Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda ameongoza mamia…
June 10, 2025, 6:46 pm
Walimu wote nchini watakiwa kufundisha kwa weledi nakujua kuwa watanzania wana matarajio makubwa kutoka kwako katika kuleta mapinduzi makubwa ya kimaendeleo katika sekta ya elimu Na Mariam Mallya Naibu Waziri wa Tamisemi anayeshughulikia elimu, Zainab Katimba amesema hayo wakati akizindua…
June 7, 2025, 7:00 pm
Wananchi wa kijiji cha Mti mmoja wamepoteza matumaini yao ya utatuzi wa mgogoro wa ardhi baina ya mtu binafsi na eneo la malisho maarufu Sepeko baada ya Mkuu wa Wilaya ya Monduli kutoonekana katika eneo la mgogoro kama alivyoahidi. Na…
June 5, 2025, 9:14 pm
Wananchi wa kitongoji cha Losinoni Kata ya Kisongo mkoani Arusha wanakwenda kunufaika na maji safi na salama baada ya kukosa maji kwa muda mrefu. Na Jenifa Lazaro Akizungumza na Savvy FM mwenyekiti wa Kijiji cha Engorora mhe Onesmo Lameck amesema…
June 5, 2025, 2:58 pm
Wananchi watakiwa kuungana na kuwa mstari wa mbele kukemea na kupinga ukatili katika jamii. Na Mariam Mallya Mkurugenzi Mtendaji Shirika la Voice of Women Africa lililopo mkoani Arusha, Veronica Daudi Kidemi amesema kuwa jamii ina nafasi kubwa ya kupinga vitendo…
June 2, 2025, 2:43 pm
Wananchi wa kijiji cha Engutukoit kata ya Oldonyowas wametoa siku 7 kupasua chungu kwa ajili ya watu wote wanaotaka kuwapora eneo la ardhi kwa ajili ya malisho ya mifugo yao. Na Juliana Laizer Wakizungumza katika mkutano ambao mgeni rasmi alikuwa…
May 27, 2025, 12:10 pm
Wawekezaji wa utalii katika bonde la mto wa Mbu wilayani Monduli wametakiwa kufuata sheria na taratibu za kiuwekezaji na kuepuka kujimilikisha maeneo yalio chini ya wananchi au vijiji bila kuwashirikisha kisheria. Na Juliana Lizer Onyo hilo limetolewa na mkuu wa…
Savvy FM Proposal Summary
Future Goals
Expand digital footprint internationally.
Maintain financial sustainability through ethical business practices.
Continue to innovate in programming and community service.
Contact Info
Phone: +255 787877778
Email: info@savvygroup.co.tz
Web: www.savvymediagroup.co.tz
Savvy FM Proposal Summary
Address: Plot 455, Block ‘C1’, Umoja Road, Njiro, Arusha, Tanzania