Savvy FM
Savvy FM
6 January 2026, 17:10
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Gabriel Makalla, amekagua na kuzindua kitengo cha programu ya vipimo na matibabu bure kwa magonjwa ya moyo inayotekelezwa kwa ushirikiano kati ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) na Hospitali ya Arusha…
4 January 2026, 18:06
Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Mheshimiwa Joseph Modest Mkude, ametoa wito kwa wananchi wa Mkoa wa Arusha na maeneo jirani kuzingatia afya zao kwa kufanya uchunguzi wa mara kwa mara ili kuepukana na magonjwa yasiyo ya lazima, hususan magonjwa yasiyoambukiza.…
4 January 2026, 17:57
Meya wa Jiji la Arusha, Maximilian Iranqhe, ametoa maelekezo kwa Kaimu Mkurugenzi wa Jiji kuandaa kikao maalum cha kukutana na mawakala wa uzoaji wa taka ili kujadili masuala mbalimbali yanayohusu usafi wa Jiji la Arusha. Na Mariam Mallya Maelekezo hayo…
18 December 2025, 18:26
Meya wa Jiji la Arusha, Maximilian Iranghe, amesema ziara ya Waziri wa tamisemi, Riziki Shemdoe, mkoani Arusha imelenga kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa jijini humo, ikiwemo ujenzi wa uwanja wa mpira na ujenzi wa soko. Na Mariam Malya Akizungumza…
16 December 2025, 16:07
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Amos Makalla, amewataka madiwani wa Jiji la Arusha kuhakikisha wanakusanya mapato na kusimamia kikamilifu miradi inayotekelezwa ndani ya Jiji ili iweze kukamilika kwa wakati. Akizungumza leo katika mkutano na Baraza la Madiwani na Menejimenti ya…
15 December 2025, 18:43
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. CPA Amos Gabriel Makalla leo Jumatatu Disemba 15, 2025 amefungua na kuongoza Kikao cha kusikiliza kero na changamoto za bodaboda na Bajaji Mkoa wa Arusha, Kikao kilichofanyika kwenye Viwanja vya Makumbusho ya Azimio la…
4 December 2025, 17:37
Mkutano wa kwanza wa Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Arusha umezinduliwa leo, tarehe 4 Desemba 2025, katika ukumbi wa Mkuu wa mkoa wa Arusha. Na Mariam Mallya Kabla ya uzinduzi huo, madiwani wote walikula viapo vya uadilifu…
27 November 2025, 18:01
Janga la kupungua kwa mnyama kazi punda limezidi kuongezeka nchini Tanzania, huku ikikadiriwa kuwa takribani punda 150 wanavushwa na kuchinjwa kila mwezi kinyume na taratibu, na kuuzwa katika maeneo mbalimbali nje ya nchi. Hali hii imeibua wasiwasi mkubwa kwa wadau…
27 October 2025, 12:15
Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Mheshimiwa Joseph Modest Mkude, amesema maandalizi ya uchaguzi yamekamilika katika maeneo matatu ya kampeni ambayo yanaelekea ukingoni. Aidha, ametangaza kuwa siku ya Jumatano itakuwa mapumziko kwa idara zote ili wananchi waweze kushiriki kikamilifu katika zoezi…
22 October 2025, 23:15
Mafundi Gereji zaidi ya 200 Krokoni Waeleza Kero Zao kwa Mkuu wa Wilaya Arusha, DC Mkude Aahidi Utekelezaji na Onyo kwa Wanaotumia Trampa Na Jenipha Lazaro Umoja wa Mafundi gereji Krokoni mtaa wa Kitangare, kata ya Kimandolu mkoani Arusha wamemuomba…
Savvy FM Proposal Summary
Future Goals
Expand digital footprint internationally.
Maintain financial sustainability through ethical business practices.
Continue to innovate in programming and community service.
Contact Info
Phone: +255 787877778
Email: info@savvygroup.co.tz
Web: www.savvymediagroup.co.tz
Savvy FM Proposal Summary
Address: Plot 455, Block ‘C1’, Umoja Road, Njiro, Arusha, Tanzania