24/02/2026, 23:16

Arusha kung’arishwa na mabasi ya mwendokasi

Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Paul Christian Makonda, amesema jiji la Arusha linaendelea kunufaika na fedha za maendeleo zinazotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kuboresha miundombinu na huduma za kijamii. Na Mariam Mallya Akizungumza mapema leo…

On air
Play internet radio

Recent posts

03/03/2026, 23:13

Arusha kuadhimisha siku ya wanawake duniani Machi 05

Wananchi wa jiji la Arusha wametakiwa kujitokeza kwa wingi katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani yatakayofanyika kimkoa siku ya Machi 05/2026 katika viwanja vya Ngarenaro mkoani Arusha. Na Mariam Mallya Akizungumza katika Studio za Savvy FM Mratibu wa jinsia…

03/03/2026, 14:09

Zaidi ya mataifa 23 duniani yakutana kujadili usawa wa kijinsia Arusha

Mkutano wa kimataifa wa mafunzo ya usawa na jinsia, ulemavu na ujumuishwaji wa kijamii umezikutanisha nchi zaidi ya 23 duniani lengo likiwa ni kujadili namna yakuendelea kuhudumia jamii kwa kuzingatia usawa wa kijinsia kwa makundi yenye mahitaji maalumu. Na Mariam…

27/02/2026, 15:51

Arusha DC kuwawekea mazingira rafiki watumishi wake

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha (DC ),Bwn Sulemani Msumi, amesema halmashauri inaendelea kuweka mazingira rafiki kwa watumishi wake, ikiwemo walimu, hususan katika kata za pembezoni kwa kuwajengea nyumba za kuishi. Na Mariam Mallya Amesema kuwa katika mwaka…

26/02/2026, 22:56

Sekta ya viwanda, biashara yaweka mikakati kujiimarisha

Wasimamizi na watendaji wa taasisi zilizopo katika sekta ya viwanda na biashara wametakiwa kuondoa urasimu na kuwa wawezeshaji wa sekta binafsi, kuchochea shughuli za uzalishaji, masoko ya kimkakati na uchumi kwa maendeleo endelevu ya kisekta kwa Taifa. Na Mariam Mallya…

24/02/2026, 23:16

Arusha kung’arishwa na mabasi ya mwendokasi

Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Paul Christian Makonda, amesema jiji la Arusha linaendelea kunufaika na fedha za maendeleo zinazotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kuboresha miundombinu na huduma za kijamii. Na Mariam Mallya Akizungumza mapema leo…

24/02/2026, 09:40

Wachafuzi wa mazingira kuswekwa ndani Arusha

Uzinduzi huo umefanyika wakati wa kampeni ya NG’ARISHA JIJI inayolenga kuhamasisha usafi wa mazingira na kujenga utamaduni wa utunzaji wa Mji. Na Mariam Mallya Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Joseph Mkude, hivi karibuni amezindua rasmi vikundi vya vijana vya ukamataji…

17/02/2026, 14:44

Wadau walia na serikali utoroshaji wa punda nchini

Punda nchini Tanzania wanakabiliwa na changamoto kubwa za ustawi, ikiwemo ukosefu wa lishe bora, huduma za afya pamoja na ulinzi dhidi ya vitendo vya utoroshaji na biashara haramu. Na Mariam Mallya Wataalamu wa mifugo na wadau wa ustawi wa wanyama…

14/01/2026, 17:08

Uzinduzi mradi wa pikipiki wainua uchumi wa vijana Arusha

Zaidi ya vijana 200 jijini Arusha wameanza kunufaika na mradi wa kuwawezesha kiuchumi kupitia mpango wa kukopeshana pikipiki kwa gharama nafuu, uliozinduliwa na Umoja wa Maafisa Usafirishaji jijini Arusha kwa kushirikiana na kampuni ya TVS (Trust Value Service), lengo likiwa…

06/01/2026, 17:10

Wananchi 1,200 Arusha wanufaika na matibabu ya moyo bure

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Gabriel Makalla, amekagua na kuzindua kitengo cha programu ya vipimo na matibabu bure kwa magonjwa ya moyo inayotekelezwa kwa ushirikiano kati ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) na Hospitali ya Arusha…

04/01/2026, 18:06

DC Arusha awataka wananchi kufanya uchunguzi wa afya mapema

Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Mheshimiwa Joseph Modest Mkude, ametoa wito kwa wananchi wa Mkoa wa Arusha na maeneo jirani kuzingatia afya zao kwa kufanya uchunguzi wa mara kwa mara ili kuepukana na magonjwa yasiyo ya lazima, hususan magonjwa yasiyoambukiza.…

Savvy FM


Savvy FM Proposal Summary

  1. Executive Summary
    Savvy FM is a privately owned radio station broadcasting from Arusha, Tanzania, with reach across Manyara,Kilimanjaro, parts of Dodoma, and Tanga.
    It primarily focuses on empowering women and youth through informative and inspiring content.
  2. Background & Profile
    Founded by three professional women from legal, marketing, and journalism backgrounds. Established in 2022 with a commercial broadcasting license from TCRA. Offers 24/7 programming tailored to local community needs. Operates with innovation, diversity, and inclusion at its core.
  3. Mission & Vision
    Mission: To empower and inspire women and youth through transformative and educational content.
    Vision: To become a financially strong, growth-oriented media platform that uplifts communities and drives change.
  4. Reach & Coverage
    Estimated listener base: 4 million+
    Covers: Arusha, Manyara, Kilimanjaro, and parts of Dodoma and Tanga.
    Expanding digital reach to global audiences via online streaming.
  5. Target Audience
    Broad age group: 14 to 70 years
    Includes youth, women, farmers, SMEs, and the general public.
    Special attention to rural listeners and marginalized groups.
  6. Programming & Content
    Includes segments like:
  • Anga La Asubuhi (Morning Drive)
  • Savvy Spoti (Sports)
  • Sauti Yako (Interactive listener shows)
    Savvy FM Proposal Summary
  • Savvy Masala (Entertainment)
    Also features educational programs, community shows, and live interviews.

Future Goals
Expand digital footprint internationally.
Maintain financial sustainability through ethical business practices.
Continue to innovate in programming and community service.
Contact Info
Phone: +255 787877778
Email: info@savvygroup.co.tz
Web: www.savvymediagroup.co.tz
Savvy FM Proposal Summary
Address: Plot 455, Block ‘C1’, Umoja Road, Njiro, Arusha, Tanzania