Savvy FM
Savvy FM
June 5, 2025, 9:14 pm

Wananchi wa kitongoji cha Losinoni Kata ya Kisongo mkoani Arusha wanakwenda kunufaika na maji safi na salama baada ya kukosa maji kwa muda mrefu.
Na Jenifa Lazaro
Akizungumza na Savvy FM mwenyekiti wa Kijiji cha Engorora mhe Onesmo Lameck amesema ifikapo mwezi wa nane wananchi hao watakuwa wamepata maji kwenye nyumba zao
Katika hatua nyingine mwenyekiti huyo ameelezea miradi mwingine inayotekelezwa katika Kijiji chake ikiwemo miradi ya barabara,umeme,nk