Uncategorized
18 February 2021, 12:14 pm
Baraza la madiwani Halmashauri ya Wilaya Kilosa lapitisha bajeti ya shilingi bil…
Baraza la madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa kwa pamoja limepitisha bajeti ya kiasi cha shilingi bilioni 66,286,660.980.70 kwa ajili ya utekelezaji wa mpango wake wa matumizi katika sekta mbalimbali ikiwemo miradi ya maendeleo katika kipindi cha mwaka 2021/2022. Akisoma taari…
13 February 2021, 5:28 pm
Wafanyabiashara waridhia tozo ya shilingi 50,000.
Wafanyabiashara waliopanga katika vibanda vinavyomilikiwa na Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa vilivyoko katika kata ya Kasiki maeneo ya uhindini wamekubali kulipa tozo ya shilingi 50,000 kwa mwezi kwa kibanda hadi hapo vitakapofanyika vikao vya kisheria mara baada ya mwaka wa…
10 February 2021, 2:13 pm
Wafanya biashara watakiwa kufungua maduka.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa Asajile Lucas Mwambambale ametoa rai kwa wafanyabiashara waliopanga katika vibanda vya biashara vinavyomilikiwa na Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa vilivyopo katika kata ya Kasiki waliofunga maduka kufungua maduka hayo ili wananchi waendelee…
2 February 2021, 1:12 pm
Mbunge wa Jimbo la Mikumi aongeza nguvu ujenzi wa Madarasa.
Mbunge wa jimbo la Mikumi Mh. Dennis Londo amekabidhi mifuko 200 ya saruji katika shule ze sekondari Iwemba, Lyahira, Kidodi na Ruhembe ambapo kila shule imekabidhiwa mifuko 50 ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono agizo la Waziri Mkuu la kuhakikisha…
2 February 2021, 11:20 am
Shule ya Sekondari Mazinyungu yajipanga Kuizika Sifuri 2021.
Wanafunzi wa kidato cha nne shule ya Sekondari Mazinyungu Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro wemejipanga kuzika Daraja sifuri ili isionekane shuleni hapo katika matokeo ya Kidato cha nne mwaka 2021. Wakizungumza Januari 29 mwaka huu katika kikao mkakati cha kuzika sifuri…
1 February 2021, 10:28 am
Prof Kabudi aongeza nguvu ujenzi shule za sekondari Dakawa mazoezi,Magole na Dum…
Mbunge wa Jimbo la Kilosa Paramagamba Kabudi Januari 31 amekabidhi mifuko 450 ya saruji yenye thamani ya shilingi milioni 7.2 ikiwa ni fedha zake binafsi katika shule za sekondari Mazoezi Dakawa, Magole na Dumila ambapo kila shule imepata mifuko 150…
1 February 2021, 2:40 am
Prof Kabudi azipa nguvu akabidhi shule ya Dakawa Mazoezi,sekondari ya Magole na…
30 January 2021, 6:55 pm
Prof. Kabudi akabidhi mifuko 200 ya saruji shule ya Sekondari Mabula Kilosa ili…
Mbunge wa Jimbo la Kilosa Prof Palamagamba Idan Kabudi amekabidhi saruji mifuko 200 sawa na Tani kumi yenye thamani ya kiasi Cha shilingi Milioni 3.2 kwa ajili ya ujenzi wa vyumba Viwili nya Madarasa katika shule ya Sekondari Mabula Wilayani…
26 January 2021, 11:37 am
Tanesco kumaliza tatizo la kukatika umeme Kilosa- Meneja Tanesco
Shirika la Umeme Tanzania Tanesco wilayani Kilosa limejipanga kikamilifu kumaliza tatizo la kukatika kwa umeme mara kwa mara katika baadhi ya maeneo kunakosababishwa na nguzo chakavu zilizooza ama kuanguka. Akizungumza Januari 26 2021 katika kipindi cha Mambo Mseto kinachorushwa na…
21 January 2021, 1:44 pm
Jamii imetakiwa kula Mlo kamili kuimarisha Kinga ya Mwili-Kilosa
Wito umetolewa kwa jamii kula Mlo kamili kwa kuzingatia makundi matano ya Chakula ili kuimarisha Kinga ya Mwili Isishambuliwe na magonjwa. Wito huo umetolewa januari 21, 2021 na Mratibu wa Shughili za Wahudumu kutoka Mradi wa Lishe endelevu Wilayani Kilosa…