Radio Jamii Kilosa

Uncategorized

30 January 2023, 9:32 am

Waziri Ndaki awataka wafugaji kubadilika.

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mheshimiwa Mashimba Ndaki (Mb)amewataka wafugaji kubadilika kwa kuacha mfumo wa ufugaji wa mazoea kwa kutegemea ardhi ya Jumuiya na badala yake wawe na eneo la kufugia Mifugo Yao eneo ambalo atatumia liwe linatambulika kisheria. Waziri…

30 January 2022, 1:51 pm

Epuka uchafu wa Mazingira Kilosa -M/kiti Chabu.

Wito umetolewa kwa jamii Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro kujenga tabia ya kushiriki kufanya usafi wa Mazingira na kupanda miti kwa ajili ya kuepuka magojwa ya mlipuko na kutunza Mazingira Wilayani humo . Wito huo umetolewa Januari 29 mwaka huu na…

23 June 2021, 10:58 am

DC ataka heshima kazini, Narudi kufundisha Madrasa.

Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro Alhaji Majid Hemed Mwanga juni 22 2021 amewataka Viongozi wote Wilayani humo kuwa wabunifu pamoja na kufanya kazi kwa umoja, kushirikiana bila kubaguana wala kudharauliana kwani kwa kufanya hivyo Wilaya itasonga mbele zaidi…

20 April 2021, 10:40 am

Meneja TRA Kilosa atoa siri ukusanyaji kodi .

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro imefanikiwa kukusanya zaidi ya shilingi bilioni 3.6 kutoka kwa wafanyabiashara waliolipa kodi kwa wakati kwa mwaka wa fedha 2020/2021 ambako kumechangia kuongeza mapato katika Wilaya na kuiwezesha serikali kutimiza malengo ya…

7 April 2021, 10:45 am

Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan -Moropc.

Chama Cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Morogoro (MOROPC) kinampongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kuitaka Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo kuvifungulia vyombo vyote vya Habari vilivyofungiwa na Serikali kwa Makosa mbalimbali.…