Radio Jamii Kilosa

Uncategorized

16 January 2021, 7:05 pm

Katika kutekeleza agizo la Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa kuwa ifikapo tarehe 15 Januari miradi ya ujenzi wa vyumba vya madarasa iwe imekamilika Mkuu Wa Wilaya ya Kilosa  Adam Mgoyi ametembelea miradi ya ujenzi wa vyumba vya madarasa katika shule…

14 January 2021, 2:31 pm

Takukuru yaokoa shilingi milioni 8.3 Kilosa.

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro imefanikiwa kuokoa fedha kiasi cha shilingi milioni 8,300,000 Kati ya milioni 212,503,559.29 ambazo chama cha Ushirika wa Akiba na mikopo cha Walimu Wilayani humo (Kilosa Teachers Saccos) kinadai…

14 January 2021, 2:55 am

Kilosa yajipanga kuto poteza vipindi darasani.

Wakati shule zikifunguliwa kwa ajili ya wanafunzi kuanza rasmi masomo yao Januari 11 mwaka huu mkoa wa Morogoro upande wa elimu sekondari umejipanga kuishi katika kauli mbiu ya hakuna kipindi kupotea lengo likiwa ni kuhakikisha wanafunzi wanafaulu katika kiwango kizuri kinachoridhisha. Hayo yamebainishwa…

8 January 2021, 11:11 am

Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaOfisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za MitaaHalmashauri ya Wilaya ya Kilosa Toggle navigation JAMII YAPASWA KUFAHAMU UMUHIMU WA MALEZI NA MAKUZI YA MTOTO Posted On: December 24th, 2020 Malezi kwa makuzi ya mtoto…