Radio Fadhila

community

16 March 2021, 4:08 AM

HOSPITALI ya Mkomaind imenunua mashine ya X-ray

HOSPITALI ya Mkomaindo iliyopo halmashauri ya mji Masasi mkoani Mtwara imenunua mashine tatu za kisasa ikiwemo mashine ya X-ray ambayo ni Digital X-ray Mashine ambapo mashine hizo tatu zina thamani ya sh.161 milioni lengo likiwa ni kuboresha upatikanaji wa huduma…

10 March 2021, 11:45 AM

Ndoa Na Taraka Katika Jamii!!!

Hakimu mkazi mfawidhi mahakama ya mwanzo lisekese masasi  LIGHTINESS  MASIMBA alipokuwa akizungumza na kipini cha amka na radio fadhila akizungumzia maswala ya ndoa na taraka ameeleza maana ya ndoa kwa mujibu wa sheria ya ndoa sheria number 29 iliyofanyiwa marejeo…

23 February 2021, 4:55 AM

Kufuatia maadhimisho ya siku ya kuanzishwa kwa skauti Duniani

Kufuatia maadhimisho ya siku ya kuanzishwa kwa skauti Duniani, Wazazi na walezi wilayani Liwale Mkoani Lindi wameombwa kuwahamasisha watoto wao kujiunga na Chama Cha skauti kwani itasaidia kwa watoto hao kuwa wazalendo, wakakamavu, wabunifu na wanaoweza kujitegemea pindi wanapokumbana na…

19 February 2021, 9:56 AM

Mabalozi ‘Wamlilia’ Maalim Sief Sharif Hamad

Mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini, ‘wamemlilia’ Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad na kumuelezea kwa mema aliyoyafanya enzi za uhai wake hapa duniani. Mabalozi hao wamewasili katika Ofisi Ndogo za Wizara jijini Dar…