Pangani FM

KIPINDI

15 September 2021, 4:12 pm

Madaraka Nyerere: Baba alikuwa hivi.

October 14 mwaka 2020 ilikuwa Kumbukizi ya Kitaifa ya miaka 21 ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kilichotokea Oktoba 14, 1999 nchini Uingereza alipokuwa anapatiwa matibabu Mwalimu Nyerere ni mmoja kati ya waasisi wa Taifa la Tanzania, ambaye alishiriki…

7 May 2021, 7:57 pm

Jamii inawajibika vipi kupunguza hewa Ukaa

Maisha ya Binadamu na viumbe wengine ulimwenguni yanategemea sana hali nzuri ya hewa safi na salama, kadhalika na mgawanyo mzuri wa hewa hizo. Anga ya dunia inatoa mchango muhimu katika hali ya hewa ya siku husika. Iwapo tunakuwa na joto…

23 April 2021, 8:34 pm

Je wewe ni Mkulima? hii ni muhimu sana kwako.

Dalili za wazi na athari za kiuchumi na kijamii zitokanazo na mabadiliko ya tabianchi zinazoongezeka kote duniani , huku sekta ya kilimo nayo ikionekana kuelemewa kwa kuwa   misimu ya mvua haitabiriki na nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania zimekuwa zikitegemea kilimo cha…

10 January 2021, 12:15 pm

CHUMO LA WIKI

Huu ni mwaka mpya leo hii mwaka una siku 10 tu, waswahili wana methali isemayo hayawi hayawi huwa na sasa yamekuwa kesho Januari 11 umande utarudi kwenye viatu ,kengele zilizoanza kupata utandu zitapigwa,madarasa yaliyojawa na mwangwi nayo yajazawa na sauti…