Pambazuko FM Radio

Mazingira

7 March 2025, 12:01 PM

Kamati ya siasa CCM yapongeza miradi Masasi Mji

Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Masasi Bi. Mariam Kasembe akiwa ameongozana na kamati ya siasa wakati wa ukaguzi wa miradi halmashauri ya mji Masasi. Picha na Godbless Lucius Kamati hiyo imepongeza hatua ya halmashauri ya Mji Masasi, kwa kutumia mapato…

20 February 2025, 16:55

Kyela:Mkaguzi atumwa kafundo,milioni 3 hazionekani zilipo

Katika hali ya kushangaza serikali ya halmashauri ya wilaya ya kyela imeagiza mkaguzi wa hesabu za serikali kufika katika kijiji cha kafundo kutokana na harufu ya ubadhilifu wa fedha za wananchi. Na Masoud Maulid Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya…

21 January 2025, 11:39 am

Alalamikiwa kwa kujenga bila kuzingatia mpaka Mwatulole

Wananchi manispaa ya Geita wakumbushwa kuzingatia mipaka ya viwanja vyao kabla ya kuanzisha ujenzi ili kuondoa changamoto zinazoweza kupelekea migogoro. Na: Kale Chongela – Geita Baadhi ya wananchi wakazi wa eneo la Nguzombili mtaa wa Mwatulole kata ya Buhalahala wamelalamikia…

3 January 2025, 2:08 pm

Hatari ya maji yasiyotibiwa kwa binadamu-Kipindi

Na Katalina Liombechi Jamii imeshauriwa kutotumia maji yasiyotibiwa ili kuepuka magonjwa mbalimbali yanayotokana uchafu kama kipindupindu. Mbonja Kasembwa ni Afisa Afya katika Halmashauri ya Mlimba Wilaya ya Kilombero ameiambia Pambazuko FM kuwa kumekuwa na utamaduni wa baadhi ya watu kutumia…

28 December 2024, 7:12 pm

Matumizi ya teknolojia ya kilimo shadidi

Na Katalina Liombechi Wakulima wanaofanya kilimo cha umwagiliaji wameshauriwa kutumia teknolojia ya kilimo shadidi inayozingatia matumizi sahihi ya rasilimali maji ambayo haiathiri uendelevu wake. Mkuu wa Idara ya Kilimo Halmashauri ya Mlimba Mhandisi Romanus Myeye ameyasema hayo wakati akifanyiwa mahojiano…

27 December 2024, 2:44 pm

Mavuno na hifadhi ya kokoa-Kipindi

Na Katalina Liombechi Wakulima wa Kokoa wameshauriwa kuzingatia uvunaji na uhifadhi mzuri wa Kokoa ili mazao yaweze kukubalika sokoni. Kwa mujibu wa Afisa Kilimo Mratibu wa zao la Kokoa Halmashauri ya Mlimba Dismas Charles Amri amesema katika kuvuna kokoa kuna…