Nuru FM

Siasa

July 8, 2025, 6:11 pm

Dkt. Suzana: Bawasiri sio laana wala aibu

Ili kuepukana na ugonjwa wa bawasiri suluhisho kwa kunywa maji ya kutosha angalau kila siku glasi sita au nane kwa siku, kula mbogamboga na matunda, kuepuka kukaa au kusimama sehemu moja kwa muda mrefu na kufanya mazoezi. Na Irene Charles…

June 21, 2025, 2:34 pm

Matukio 154 ya ukatili kwa watoto yaripotiwa Muleba

Viongozi mbalimbali wilayani Muleba mkoani Kagera wametakiwa kushirikiana ili kudhibti vitendo vya kikatili kwa watoto ambavyo vimekuwa vikipelekea baadhi yao kushindwa kufikia ndoto zao. Na. Anold Deogratias Mkuu wa Wilaya ya Muleba mkoani Kagera Dkt. Abel Nyamahanga amewataka wadau wa…

20 June 2025, 17:19

Mwakyambile awamwagia fedha UVCCM Kyela

Jumla ya shilingi milioni moja na laki tatu zimekabidhiwa kwa uongozi wa jumuiya ya vijana wilaya ya kyela kwa ajiri ya ujenzi wa nyumba ya katibu wa jumuiya hiyo. Na James Mwakyembe Siku moja baada ya mdau wa maendeleo na…

19 June 2025, 13:09

Babylon: Hakuna kulala mzigo wakabidhiwa

Jumla ya Mbao miamoja na arobaini zimekabidhiwa kwa jumuiya ya wazazi ili kukamilisha ujenzi wa nyumba ya katibu Na James Mwakyembe Hatimaye mdau wa maendeleo na mkurugenzi wa kiwanda cha mafuta ya kula Covenant Edible Oil Babylon Mwakyambile wake wa…

19 June 2025, 11:57 am

MCC Asas awaonya watia nia kutochafuana

Chama cha Mapinduzi CCM kimewaonya watia nia wa nafasi mbalimbali za uongozi kupitia chama hicho, kutotumia lugha za kebehi. Na Godfrey Mengele Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaotaka kutangaza nia ya kugombea nafasi za ubunge na udiwani wametakiwa kujieleza…

June 14, 2025, 12:01 pm

Buhigwe yaanza mapambano dhidi ya malaria

Mganga Mkuu wa halmashauri ya wilaya ya Buhigwe Dkt. Innocent Mhagama amesema zoezi la kuandikisha kaya za wanufaika wa vyandarua vyenye dawa katika wilaya hiyo limefanikiwa kwa kiasi kikubwa ambapo lengo la awali ilikuwa kuandikisha kaya elfu 47,467 lakini jumla…

13 June 2025, 17:09

Jumuiya wazazi Kyela yampiga jeki Rais Samia

Jumuiya ya wazazi wilaya ya Kyela imetoa tamko la kumpongeza mwenyekiti wa chama hicho na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kupitishwa tena kugombea urais kwa awamu nyingine tena. Na James Mwakyembe Kuelekea uchaguzi mkuu wa Tanzania jumuiya…

13 June 2025, 16:17

Wananchi Mbeya na matarajio ya bajeti ya taifa 2025/2026

Wananchi mkoani Mbeya wameleza matarajio waliyonayo sambamba na changamoto walizoziona katika Bajeti kuu ya Taifa 2025/26 Na Samwel Mpogole Baadhi ya wananchi mkoani Mbeya wamesema wanatarajia Bajeti ya Serikali ya Mwaka wa Fedha 2025/2026 iwe na tija katika maeneo muhimu…