Nuru FM
Nuru FM
December 2, 2025, 11:19 pm
Wakazi wa Wilaya ya Kasulu waombwa kujenga utamaduni wa kupima afya zao mara kwa mara na kutambua mapema kama wanaishi na maambukizi ya virus vya UKIMWI ili kupata ushauri nasaaha pamoja na kuanza matumizi ya kufubaza maambukizi ya virusi hivyo.…
17 October 2025, 9:04 am
Makala hii inaelezea Jinsi Taasisi Binafsi na za Kiserikali zinavyoshiriki kuhamasisha wanawake kujihusisha na masuala ya Uchaguzi na siasa. Na Hafidh Ally na Dorice Olambo Nuru FM imekuandalia makala hii maalum kujua ni kwa kiwango gani Taasisi Binafsi, za Kidini…
24 September 2025, 10:27 am
Makala hii inaelezea Changamoto ambazo wanawake wanazipitia pindi wanapoonesha nia ya kutaka kujihusisha na masuala ya kisiasa kuelekea katika Uchaguzi Mkuu wa Octoba 2025. Na Hafidh Ally na Dorice Olambo Wakati Tanzania ikitarajiwa kuingia katika kinyang’anyanyiro cha kupata viongozi wapya…
September 19, 2025, 6:53 pm
Ujenzi wa Wodi ya wazazi katika Kituo cha afya Mwami Ntale katika Kata ya Heru Juu umekamilika kwa asilimia 90% ambapo unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi huu. Na; Sharifat Shinji. Wakazi wa kata ya Heru Juu katika Halmashauri ya mji…
September 18, 2025, 12:17 am
“Nina imani kubwa kuwa jengo hili litawasaidia wananchi na watoa huduma mtatoa huduma bora na nzuri kwa wananchi wote wa Halmashauri hii pia litaongeza chachu ya maendeleo katika maeneo haya” Amesema Ussi. Na; Sharifat Shinji Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu…
10 September 2025, 16:03
“Ukichagua CCM umechagua afya bora,barabara nzuri,maji salama,elimu na umeme vijijini” Na James Mwakyembe Mamia ya wananchi wamejitokeza katika uzinduzi wa kamapeni za kumnadi mgombea wa ubunge kupitia chama cha Mapinduzi CCM jimbo la Ileje mkoani Songwe Mhandisi Godfrey Msongwe Kasekenya…
10 September 2025, 1:06 pm
Afisa maendeleo ya jamii manispaa ya Mpanda Irene Samson. Picha na Leah Kamala ” Tunapata pesa lakini hatujui namna ya kuitumia hivyo ni muhimu kupata elimu” Na Leah Kamala Baadhi ya wananchi wa manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameiomba serikali…
September 10, 2025, 7:29 am
“Elimu ya Kipindupindu tunaendelea kuitoa kwa wananchi kupitia vyombo vya habari kutokana na ongezeko la maambukizi ya ugonjwa huu ambapo mwezi Augost kulikuwa na visa vitatu hadi leo Septemba 08 mwaka huu vimefikia visa 37 vya maambukizi ya ugonjwa huu…
8 September 2025, 11:03 am
Katika Muendelezo wa Kampeni za kunadi sera za Chama Cha Mapinduzi CCM kwa wananchi Mkoani Iringa. Na Ayoub Sanga Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza dhamira ya Serikali yake kujenga jengo la kisasa…
27 August 2025, 11:21 am
Makala hii inaelezea ushiriki wa wanawake wenye ulemavu katika nafasi za uongozi kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Na Hafidh Ally na Dorice Olambo Nuru FM imekuandalia makala hii maalum kujua ni kwa kiwango gani watu wenye ulemavu hasa wanawake…