Nuru FM

michezo

16 December 2025, 11:03 am

Vitamin A, dawa za minyoo zatolewa Kilosa

Mwezi wa Afya na Lishe ni kampeni ya kitaifa inayofanyika kila mwaka kuanzia Desemba 1 hadi 31, yenye lengo la kuboresha afya ya mama na mtoto kwa kutoa huduma muhimu za lishe katika vituo vya kutolea huduma za afyana huduma…

1 December 2025, 11:32 am

Mpango wa mil. 137 kupambana na lishe duni Kilosa

Chakula shuleni husaidia kupunguza utoro na kuimarisha mahudhurio kwa kuwa watoto wengi huhamasika kwenda shule wakijua watapata chakula na, huwasaidia watoto wa familia zisizo na uwezo mkubwa kupata mlo kamili angalau mara moja kwa siku, hivyo kupunguza athari za utapiamlo…

24 November 2025, 2:15 pm

Usugu wa vimelea dhidi ya dawa chanzo cha vifo mil. 1 duniani

Matumizi holela ya dawa yanatajwa kuwa moja kati ya sababu zinaochangia usugu wa vimelea dhidi ya dawa ambayo husababisha vifo vya watu millioni 1.1 kila mwaka duniani. Na Sabina Martin Jamii nchini imetakiwa kutumia dawa kwa kuzingatia maelekezo yadaktari ili…

18 November 2025, 6:17 pm

Sheria mpya kuwabana wazazi wasiochangia chakula

Hapa nchini katika baadhi ya shule bado kuna changamoto kubwa ya idadi ndogo ya wanafunzi wanaopata huduma ya chakula cha mchana mashuleni na inaelezwa tatizo hili linachangiwa na wazazi wengi kutokuwa na utayari wa kuchangia chakula hasa kwa watoto wasio…

November 13, 2025, 5:33 pm

Wakulima Mara kunufaika na mbegu za ruzuku

”Nawaomba wakulima wote kujiunga kwenye mtandao wa vikundi vya wakulima Tanzania (MVIWATA) ili waweze kuwa na sifa za kukopeshwa pembejeo za kilimo” Benard Mathew afisa kilimo kata ya Bunda stoo Na Amos Marwa Wakulima wadogowagogo mkoa wa Mara wamehakikishiwa fursa…

November 12, 2025, 8:50 pm

MVIWATA ni sauti ya wakulima wadogowadogo

Katibu wa Mtandao wa vikundi vya wakulima Tanzania (MVIWATA) Mkoa wa Mara akizungumza na Bunda FM kwenye kipindi cha Busati la Habari kinachoruka Jumatatu hadi Ijumaa. Picha na Amos Marwa “MVIWATA inawapa nafasi wakulima wadogowadogo kujifunza kilimo bora kwa kupewa elimu tunafanya…