Nuru FM

Maendeleo

17 December 2025, 9:30 pm

Mkandarasi akaliwa kooni Geita

Katika mwaka wa fedha 2025/2026 walitengewa jumla ya kiasi cha Shilingi Bilioni 12.3 kwa ajili ya utekelezaji wa kazi za matengenezo ya aina mbalimbali ya barabara na madaraja Na Mrisho Sadick: Serikali mkoani Geita imetangaza rasmi kuanza kumkata fedha mkandarasi…

12 December 2025, 1:55 pm

Upatikanaji wa maji Nyang’hwale ni asilimia 77.4

RUWASA imetakiwa kuhakikisha inapunguza upotevu wa maji na malalamiko ya bili kwa kufunga mita za wateja majumbani badala ya sehemu zilizo mbali na makazi yao. Na Mrisho Sadick: Hali ya upatikanaji wa maji safi na salama wilayani Nyang’hwale mkoani Geita…

5 December 2025, 2:25 pm

Ufaulu darasa la saba Nyang’hwale wapaa

Changamoto zilizokuwa kikwazo mwaka Jana ikiwemo wazazi kuwalazimisha watoto kufeli, ukosefu wa chakula shuleni pamoja na baadhi ya wadau kutowajibika ipasavyo. Na Mrisho Sadick: Ufaulu wa mtihani wa darasa la saba katika Wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita umeongezeka kutoka asilimia…

5 December 2025, 2:03 pm

Moto wa ajabu wateketeza samani za ndani Geita

Hakuna madhara ya kibinadamu kwakuwa jitihada kubwa zilifanyika kuuzima moto huo kwa kushirikiana na majirani. Kale Chongela: Moto ambao chanzo chake hakijajulikana umeteketeza vitu vya ndani katika chumba cha Bw. David Pankras, mkazi wa Mtaa wa Nyantorotoro A Kata ya…

3 December 2025, 7:18 pm

Mapambano ya ugonjwa wa sikoseli yaanza Geita

Mradi huo utatekelezwa kwa miaka miwili, utatoa huduma ya upimaji, utoaji wa bima za Afya kwa watoto zaidi ya 300 ambao hawana uwezo wa kumudu matibabu. Na Mrisho Sadick: Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali imeendelea kuimarisha mapambano dhidi ya…

1 December 2025, 2:14 pm

Serikali kusimama na vijana waliohitimu VETA Geita

Changamoto mbalimbali zinazokabili chuo hicho ikiwemo ukosefu wa uzio unaohatarisha mali za chuo, upungufu wa zana za kisasa za mafunzo. Na Mrisho Sadick: Taasisi za serikali na zile za binafsi wilayani Geita zimetakiwa kuwapa kipaumbele vijana waliohitimu mafunzo ya Ufundi…