Nuru FM
Nuru FM
12 January 2025, 11:37 am
Na Mwandishi wetu Watu wenye ulemavu mkoa wa Iringa wameendelea kunufaika na jitihada za mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa, Mh Dr. Ritta Kabati za kutoa vifaa saidizi katika kundi hilo. Kabati ameendelea kutoa vifaa saidizi kwa kukabidhi baiskeli…
12 January 2025, 10:57 am
Na Zahara Said na Halima Abdallah Ikiwa tupo katika msimu wa mvua, wananchi Manispaa ya Iringa wametakiwa kuchukua tahadhari ikiwemo kuacha kufungulia maji taka ili kuepukana na magonjwa ya mlipuko hasa kipindu pindu. Wakizungumza na kituo hiki baadhi ya wananchi…
11 January 2025, 4:10 pm
Uhitaji ya damu salama umeendelea kusisitizwa kwa wananchi kujitokeza ili kujitolea kwaajili ya kuweza kunusuru wagonjwa wenye uhitaji wa damu salama. Na: Edga Rwenduru – Geita Madereva wa pikipiki zenye magurudumu matatu bajaji mkoa wa Geita wametakiwa kuwa na utamaduni…
9 January 2025, 10:38 am
Kwa sasa kuna mabadiliko ya vifurushi vya matibabu kupitia mfuko wa Taifa wa bima ya afya (NHIF) ambavyo vinaendelea kutoa fursa kwa wananchi kupata matibabu. Na: Paul William – Geita Wananchi mkoani Geita wametakiwa kujiunga na mfuko wa Taifa wa…
31 December 2024, 10:01 am
Na Adelphina Kutika Wakazi wa Kijiji cha Lusinga, Kata ya Dabaga, Wilaya ya Kilolo, wanaoishi katika mikoa mbalimbali ya Tanzania, wamekusanyika kwenye kijiji hicho kusherehekea sikukuu za mwisho wa mwaka kwa lengo la kukumbushana malezi bora na maadili yenye misingi…
19 December 2024, 9:09 am
Na Zahara Said na Halima Abdallah Kuelekea sikukuu za Mwisho wa Mwaka, Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Iringa limewataka madereva kuwa makini pindi wanapoendesha vyombo vya moto ili kupunguza ajali barabarani. Hayo yamezungumwa na Mtahini wa…
11 December 2024, 9:59 pm
Na Hafidh Ally Wananchi Mkoani Iringa wametakiwa kujitokeza kwa wingi katika kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia iliyozinduliwa rasmi katika Viwanja vya Mwembetogwa Mkoani Iringa. Akizungumza katika uzinduzi wa Kampeni hiyo Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya…
10 December 2024, 12:31 pm
Na Mwandishi wetu Wanaume kutoka Kijiji cha Igangidung’u Kata ya Kihanga wilayani Iringa wameeleza namna ambavyo wanafanyiwa ukatili wa kisaikolojia kwa kupewa dawa za kuwapumbaza akili zikifahamika kwa jina la ‘limbwata’ sambamba na kukutana na vipigo kutoka kwa wake zao.…
9 December 2024, 11:20 AM
Waamini wamekumbushwa kuwa sauti ya matumaini kama Nabii Baruku alivyokuwa sauti ya matumaini na kualikwa ili waweze kubadilika.Hayo yamesemwa na Askofu wa Jimbo Katoliki la TUNDURU-Masasi, Mhashamu Askofu Filbert Felician Mhasi kwenye homilia ya Ibada ya Misa Takatifu ya Dominika…
9 December 2024, 11:02 am
Na Mwandishi wetu Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa kwa kushirikiana na timu maalum kutoka Kikosi cha Usalama barabarani Makao Makuu limefanya ukaguzi wa vyombo vya moto ambapo jumla ya magari 45 yamekutwa na makosa mbalimbali. Akizungumza kwenye operesheni hiyo…