Mkoani FM
Mkoani FM
16 December 2025, 11:03 am
Mwezi wa Afya na Lishe ni kampeni ya kitaifa inayofanyika kila mwaka kuanzia Desemba 1 hadi 31, yenye lengo la kuboresha afya ya mama na mtoto kwa kutoa huduma muhimu za lishe katika vituo vya kutolea huduma za afyana huduma…
1 December 2025, 11:32 am
Chakula shuleni husaidia kupunguza utoro na kuimarisha mahudhurio kwa kuwa watoto wengi huhamasika kwenda shule wakijua watapata chakula na, huwasaidia watoto wa familia zisizo na uwezo mkubwa kupata mlo kamili angalau mara moja kwa siku, hivyo kupunguza athari za utapiamlo…
28 November 2025, 6:16 pm
Udhalilishaji, kusambazwa kwa picha au video bila ridhaa, na vitisho kupitia mitandao ya kijamii vimekuwa vikiongezeka. Katika ulimwengu wa kidigitali, wanawake wameendelea kuwa wahanga wakuu wa ukatili wa kijinsia mtandaoni. Vitendo vya matusi, udhalilishaji, kusambazwa kwa picha au video bila…
27 November 2025, 5:54 pm
Changamoto kubwa zinazokumba lishe kwa watoto na akina mama ni pamoja na ukosefu wa uelewa kuhusu lishe sahihi, umasikini, upatikanaji mdogo wa vyakula vya lishe, na mila au desturi zisizozingatia mahitaji ya lishe. Hali hii husababisha utapiamlo, upungufu wa damu,…
24 November 2025, 2:15 pm
Matumizi holela ya dawa yanatajwa kuwa moja kati ya sababu zinaochangia usugu wa vimelea dhidi ya dawa ambayo husababisha vifo vya watu millioni 1.1 kila mwaka duniani. Na Sabina Martin Jamii nchini imetakiwa kutumia dawa kwa kuzingatia maelekezo yadaktari ili…
18 November 2025, 6:17 pm
Hapa nchini katika baadhi ya shule bado kuna changamoto kubwa ya idadi ndogo ya wanafunzi wanaopata huduma ya chakula cha mchana mashuleni na inaelezwa tatizo hili linachangiwa na wazazi wengi kutokuwa na utayari wa kuchangia chakula hasa kwa watoto wasio…
17 November 2025, 3:36 pm
Leo katika kipengele cha mama na mtoto tunaangazia umuhimu wa mama mjamzito kuandaa vifaa vya kujifungulia mapema. Na Anitha Mganga Midwife Anitha Mganga anaeleza pia anabainisha ni vifaa gani mama anavyopaswa kuandaa kabla ya kujifungua.
November 13, 2025, 5:33 pm
”Nawaomba wakulima wote kujiunga kwenye mtandao wa vikundi vya wakulima Tanzania (MVIWATA) ili waweze kuwa na sifa za kukopeshwa pembejeo za kilimo” Benard Mathew afisa kilimo kata ya Bunda stoo Na Amos Marwa Wakulima wadogowagogo mkoa wa Mara wamehakikishiwa fursa…
November 12, 2025, 8:50 pm
Katibu wa Mtandao wa vikundi vya wakulima Tanzania (MVIWATA) Mkoa wa Mara akizungumza na Bunda FM kwenye kipindi cha Busati la Habari kinachoruka Jumatatu hadi Ijumaa. Picha na Amos Marwa “MVIWATA inawapa nafasi wakulima wadogowadogo kujifunza kilimo bora kwa kupewa elimu tunafanya…
12 November 2025, 1:13 pm
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kukevya (DCEA) imesema kundi la vijana wasomi wa vyuo vikuu ndio linaloongoza kwa matumizi makubwa ya dawa za kulevya ikiwemo uchepushwaji wa kemilaki bashirifu na dawa tiba zenye asili ya kulevya. Na…