Kahama FM

DTBBANK

14 September 2024, 3:27 pm

Wastaafu waaswa kuacha kutumia ‘pensheni’ kwa anasa

Wasitafu wengi nchini wamekua wakijikuta wakiishi maisha magumu licha ya Serkali kuwalipa kiinua mgongo,huku baadhi yao wakitajwa kutumia pensheni zao kwa anasa za Dunia. Na Emmanuel Twimanye. Wazee  wastaafu wilayani  Sengerema  mkoani Mwanza wametakiwa kuacha kutumia pensheni zao kwa  anasa badala…

13 September 2024, 7:34 pm

Miganga wadhamiria ujenzi wa ofisi Serikali ya Mtaa

Kukamilika kwa ujenzi kwa ujenzi wa ofisi ya serikali ya mtaa kutaboresha utoaji wa huduma kwa ufanisi kwa wananchi. Na Mindi Joseph. Ujenzi wa ofisi ya serikali ya Mtaa katika mtaa wa Miganga kata ya Mkonze jijini Dodoma ambao umeanza…

8 September 2024, 2:34 pm

Polisi watoa msaada kituo cha watoto yatima Sengerema

Katika kuadhimisha kutimiza miaka 105 ya Jeshi la Polisi Tanzania, jeshi hilo limejipanga kutoa elimu na msaada kwa jamii . Na;Elisha Magege Jeshi la polisi wilayani Sengerema limetoa msaada wa vitu mbalimbali katika kituo cha kulelea watoto yatima cha bustani…

5 September 2024, 22:54

Wafugaji Mbeya wampongeza Dkt.Samia kwa uchapakazi wake wa vitendo

Katika kuondoa migogoro kati ya wafugaji na wakulima Serikali Imeendelea kuwa karibu na makundi hayo kujua changamoto ambazo wanakabiliana nazo ili ziweze kutatuliwa. Na Hobokela Lwinga Chama Cha mapinduzi kupitia Serikali yake inayongozwa na mwenyekiti wa chama hicho Dkt.samia suluhu…

24 July 2024, 5:23 pm

Sengerema kuzindua Sekondari mpya 11 mwakani

Halmashauri ya Sengerema inatarajia kukamilisha ujenzi wa shule 11 mwakani na kuwa na jumla ya shule za Sekondari 46 waipongeza serikali ya awamu ya Sita Na:Elisha Magege Shule 11 mpya za Sekondari zinatarajiwa kukamilika mwezi Agosti mwaka huu na kuanza…

13 July 2024, 10:30 am

Changamoto za shule ya msingi Kitengule kutatuliwa

Na Eliud Henry Changamoto mbalimbali kwa shule za msingi na sekondari nchini zimekuwa kikwazo cha ufaulu na maendeleo ya watoto hasa linapokuja suala la miundombinu mibovu au chakavu na mabweni kwa wenye mahitaji maalum Shule ya msingi Kitengule inayohudumia watoto…

10 July 2024, 3:00 pm

Watakaotumia vyandarua kufugia vifaranga, bustani kukiona

Mkoa wa Mwanza umepokea vyandarua Milioni 1.4 kwenda  Halmashauri 6 vitagawiwa kwa wananchi bila malipo zikilenga kaya zote ambazo zinakabiliwa na changamoto ya ugonjwa Maralia  Na:Elisha Magege Katika jitihada za kupambana na ugonjwa wa maralia nchini Halmashauri ya Sengerema inatarajia…