KAHAMA
April 22, 2022, 2:17 pm
NAFASI YA WATAALAM WA MAENDELEO YA JAMII KATIKA ZOEZI LA SENSA YA WATU NA MAKAZI…
Na Dr. Regina Malima (PhD) 1.0 Utangulizi SENSA ya watu na makazi ni zoezi maalum lenye lengo la kukusanya na kuchambua takwimu za idadi ya watu katika nchi husika kwa kuangalia umri, jinsia zao, anuani za makazi, kiwango cha elimu,…
February 23, 2022, 1:01 pm
KAHAMA:Jeshi la Polisi lawataka Wananchi kutoa taarifa za Uhalifu bila woga.
Jeshi la Polisi Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga limewatoa wasiwasi raia wema kuhusu utoaji wa taarifa za siri za waalifu katika maeneo yao kuwa wasiogope kama watajulikana pindi wanapotoa taarifa hizo. Wito huo umetolewa leo na Mkaguzi msaidizi wa Polisi Joseph…
January 22, 2022, 11:11 am
Kahama:Viongozi na watendaji wa chama kikuu cha ushirika wilayani Kahama (KACU)…
Viongozi na watendaji wa chama kikuu cha ushirika wilayani kahama (KACU) wametakiwa kuwa waaminifu wakati wakiwahudumia wakulima ili kulinda heshima na hadhi ya chama hicho. Hayo yamesemwa na mkuu wa wilaya ya Kahama FESTO KISWAGA wakati akifungua kikao Cha mkutano…
January 6, 2022, 12:17 pm
KAHAMA:Bibi anamtafuta Bwana Nelson Bujaga amkabidhi kiwanja chake.
Mkazi wa Bukondamoyo kata ya Muhungula Manispaa ya Kahama Mkoani Shinyanga Bi Monica Athanas anawaomba wasamalia wema wanaomfahamu Bwana Nelson Samatini Bujaga au ndugu zake wamtafute ili aweze kuwakabidhi shamba la ukubwa wa robo tatu alilonunua Bwana Bujaga mwaka 2013…
January 5, 2022, 11:49 am
POLISI KAHAMA: Watembea kwa Miguu acheni Madoido kwenye vivuko vya Pundamilia.
Jeshi la polisi kitengo cha usalama Barabarani Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga limewataka watembea kwa miguu kuheshimu alama za barabarani wakati wa kuvuka hasa eneo la pundamilia na kuacha tabia ya kutembea kwa mizaha eneo hilo. Wito huo umetolewa leo…
December 16, 2021, 12:50 pm
Kahama: Serikali wilayani Kahama imekabidhiwa Madarasa 247 yenye thamani ya shil…
Serikali wilayani Kahama mkoani Shinyanga imekabidhiwa Madarasa 247 yenye thamani ya shilingi Bilioni 5.6 yaliojengwa kwa fedha za fedha za Uviko 19. Akikabidhiwa madarasa hayo leo Mkuu wa wilaya ya Kahama FESTO KISWAGA na wakurugenzi wa halmashauri ya manispaa ya…
December 16, 2021, 12:32 pm
KAHAMA:Serikali ya manispaa ya kahama imezindua mwongozo wa Taasisi ya kuzuia n…
Serikali ya manispaa ya Kahama imezindua mwongozo wa Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU kwa vijana wa skauti ili kuwawezesha kupambana na rushwa katika maeneo yao…… Katibu tawala wa manispaa ya Kahama TIMOTHY NDANYA ambae amezindua mpango huo…
December 13, 2021, 6:05 pm
MCHANGO WA WATAALAMU WA MAENDELEO YA JAMII TANZANIA NDANI YA MIAKA 60 YA UHURU.
Na Dr Regina Malima Maendeleo ya jamii ni fani ya kitaalamu inayokuza demokrasia shirikishi, maendeleo endelevu na kujikita katika dhana ya uhamasishaji, ushirikishaji na kuwajengea uwezo wanajamii wote ili kuwepo na haki na usawa wa kimaendeleo kwa watu wote. Katika…
December 9, 2021, 4:20 pm
KAHAMA:Wanafunzi wakike shule ya sekondari Mapamba waiomba serikali iwapelekee…
Wanafunzi wakike katika shule ya sekondari Mapamba Halmashuri ya ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga wameiomba serikali iwapelekee walimu wakike ili waweze kuhudumia pindi wanapohitaji msaada maalum katika masuala ya wanawake. Hayo yamesemwa na wanafunzi wa shule ya sekondari mapamba katika…
December 7, 2021, 4:32 pm
KAHAMA:Cherehani atoa Fedha za Mifuko 58 ya Saruji,kata ya Sabasabini Ushetu.
Wananchi wa Kitongoji cha Imalange kata ya Sabasabini Halmashauri ya Ushetu Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga wamemshukuru mbunge wa Jimbo la Ushetu Emmanuel Cherehani kwa kutoa fedha kiasi cha shilingi Milioni moja na laki tatu kwa ajili ya kununua mifuko 58…