Kahama FM

KAHAMA

May 17, 2021, 9:40 am

DC KAHAMA:Wauguzi na wakunga zuieni vifo vya wajawazito na watoto.

Serikali imewaagiza wauguzi na wakunga katika halmashauri ya Msalala mkoani Shinyanga kuhakikisha wanazuia vifo visivyokuwa  vya lazima vya  akinamama wajawazito na watoto kwa kutoa huduma za afya stahiki  na kwa weledi utakaowezesha wananchi kufurahia upatikanaji wa huduma za matibabu. Kauli…

May 6, 2021, 7:23 pm

Wanaume wafanyiwa ukatili na wanawake.

Imeelezwa kuwa Moja ya ukatili wa kijnsia unaojitokeza katika kata ya Nyamilangano halmashauri ya ushetu wilayani kahama mkoani shinyanga, ni baadhi ya wakina baba kupigwa na wake zao hali inayosababisha kutelekeza familia zao pamoja na wanandoa kutokugawana mali inapotokea wameachana.…

April 29, 2021, 9:52 am

Vibaka 17 wakamatwa Shunu Kahama,RPC awashukia wazazi.

Vibaka wakabaji 17 wenye umri chini ya miaka 18 wamekamatwa mtaa wa Shunu Kata ya Nyahanga manispaa ya kahama na jeshi la polisi katika oparation maalumu iliyofanyika kwa muda wasiku tatu. Wakazi wa mtaa wa Shunu kata ya Nyahanga manispaa…

April 28, 2021, 7:06 am

TBS yatoa Elimu kwa wasindikaji wa Mchele Kahama.

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limetoa elimu kwa wasindikaji, wajasiriamali na wadau wa mchele wilayani Kahama mkoa wa Shinyanga katika mnyororo wa thamani kuhusu kanuni bora za uzalishaji,matakwa ya viwango,namna bora ya uhifadhi,elimu juu ya vifungashio na taarifa za msingi…