Joy FM
Joy FM
21 July 2025, 15:59
Wavuvi wanaofanya shughuli za uvuvi ndani ya ziwa Tanganyika wameomba Seriakali kushughulikia vitendo wizi na uhalifu ndani ya ziwa hilo Watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wanadaiwa kuwavamia na kupora mashine nane za uvuvi katika mwalo wa Katonga Ziwa Tanganyika Mkoani…
20 July 2025, 9:36 am
“Ikiwa wakulima wanalima zao la mpunga watatumia mbegu zilizo bora wataweza kupata faida kubwa kwenye kilimo chao na kuondokana na umaskini“ Na Latifa Ali. Wakulima wanaolima zao la mpunga wametakiwa kutumia mbegu bora ili kuongeza tija na ufanisi katika uzalishaji…
18 July 2025, 11:08 am
Wasimamizi wa uchaguzi Lindi na Mtwara wamehimizwa kuzingatia Katiba, sheria na kanuni kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025. Mafunzo ya siku tatu yamehitimishwa Mtwara, yakilenga kuwajengea uwezo. Washiriki wameahidi kuwa mabalozi wa elimu hiyo kwa wenzao Na Musa Mtepa Wasimamizi na waratibu…
16 July 2025, 11:26 am
“Maafisa wa uchaguzi wametakiwa kufuata misingi ya kikatiba na kisheria ili kuhakikisha uchaguzi huru na wa haki,” amesema Balozi Mapuri, katika mafunzo yaliyofanyika Mtwara yakiongozwa na INEC Julai 15, 2025 NA Musa Mtepa Maafisa wa usimamizi wa uchaguzi wametakiwa kufuata…
15 July 2025, 11:35
Serikali imesema inaendelea na uboreshaji wa miundombinu ya usafiri na usafirishaji kwa kuhakikisha inaboresha na kupanua uwanja wa ndege Kigoma ili uweze kuwa na hadhi ya kimataifa. Na Josephine Kiravu Mradi wa Upanuzi na Uboreshaji wa uwanja wa ndege Kigoma…
14 July 2025, 11:59
Hapo awali wazalishaji wa mbegu walikumbana na changamoto mbalimbali zikwemo ukosefu wa elimu ya kiufundi, kutokuwa na uthibitisho rasmi, usambazaji holela na kukosa kuelewa mahitaji ya wakulima. Na Marko Msafiri Wakala wa Udhibiti wa Ubora wa Mbegu Tanzania (TOSCI) umeuhakikishia…
13 July 2025, 15:42 pm
Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amewahamasisha wananchi wa Mtwara kushiriki uchaguzi mkuu Oktoba 2025, akisisitiza umuhimu wa kuchagua viongozi wa chama hicho ili kuleta maendeleo. Na Musa Mtepa Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amewaasa wananchi wa Mtwara…
12 July 2025, 13:39 pm
Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Ndumbwe, Ndugu Abdull Mahupa, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge Jimbo la Mtwara Vijijini kupitia CUF. Ametaja afya, miradi ya maendeleo na uboreshaji wa huduma kwa wananchi kuwa vipaumbele vyake Na Musa Mtepa…
9 July 2025, 14:57
Kiwanda cha miwa kilichopo Wilayani Kasulu kuwanufaisha vijana na kukuza uchumi. Na Josephine Kiravu Mkoa wa Kigoma unaendelea kufanya vizuri kitaifa katika sekta ya uwekezaji ambapo Hadi Sasa wawekezaji wameendelea kuwekeza Kwa kujenga viwanda na kufanya vijana wengi kupata ajira…
9 July 2025, 09:51
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoani Kigma limewataka wananchi kuendelea kuchukua hatua za kukabiliana na majanga ya moto ambayo yanaweza kujitokeza katika maeneo yao. Na Esperance Ramadhan Baadhi ya Wananchi Mkoani Kigoma wamepatiwa elimu ya kuzima moto pindi linapotokea tatizo…