Joy FM
Joy FM
23 July 2025, 12:44
Halamashauri ya Wilaya ya Kasulu inakusudia kuanzisha viwanda vidogovidogo vitakavyosaidia wakulima wa zao la mchikichi kukamua mafuta ya zao hilo.
22 July 2025, 8:18 pm
Tukio la mama huyo kujinyonga limeacha maswali mengi kutokana na mume wake miaka miwili iliyopita alifariki kwa kujinyonga pia Na Adelinus Banenwa Mwanamke mmoja aliyetambulika kwa jina la Pili Chacha (40) amefariki dunia kwa kujinyonga kwenye mti ulipo pembezoni mwa…
22 July 2025, 5:14 pm
uchaguzi huu umefanyika kwa mujibu wa ratiba na tayari kwa upande wa Bunda jumla ya madiwani viti maalumu 11 wamepatikana Na Adelinus Banenwa Mwenyekiti wa umoja wa wanawake wa chama cha mapinduzi CCM wilaya ya Bunda Bi Marysiana Sabuni amesema…
22 July 2025, 2:58 pm
Tume huru ya taifa ya uchaguzi (INEC) imewataka wasimamizi na wasimamizi wa uchaguzi kufuata sheria katika kutimiza majukumu yao. Amina Massoud Jabir Waratibu, wasimamizi na wasaidizi wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya jimbo wametakiwa kufanya kazi zao kwa kufuata sheria, kanuni …
22 July 2025, 12:47 pm
Wahitimu wa kidato cha nne na cha sita kisiwani Pemba wametakiwa kuchangamkia fursa ya kujiunga na chuo cha Abdurahman-Alsumait. Amina Massoud Jabir Wahitimu wa kidato cha nne na cha sita kisiwani Pemba wametakiwa kuchangamkia fursa ya kujiunga na chuo cha…
19 July 2025, 7:23 pm
Uchunguzi wa awali unaonesha kuwa kijana huyo aliuawa kwa kunyongwa. Na Adelinus Banenwa Kijana Yusto Kungu dereva bodaboda aliyekutwa ameuawa amezikwa leo nyumbani kwao katika kijiji cha Nyasirori, wilayani Butiama , mkoani Mara. Yusto alikuwa mwendesha pikipiki maarufu kama bodaboda…
16 July 2025, 11:26 am
Vipo vyanzo vya aina tatu vya ajali ambavyo ni Vyanzo vya kibinadamu, Vyanzo vya kimazingira na vyanzo vya kiufundi. Na Adelinus Banenwa Wito umetolewa kwa watumiaji wote wa barabara wilayani Bunda kuzingatia sheria za usalama barabarani ili kuepuka ajali zisizo…
14 July 2025, 13:03
Serikali ya Mkoa wa Kigoma imesema itahakikisha hakuna mtu atakayevunja amani na kuhakikisha Mkoa wa Kigoma unakuwa salama. Na Josephine Kiravu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Balozi Simon Sirro amewatahadharisha wenye nia ya kuvuruga amani na kuwataka kuacha mara moja…
11 July 2025, 09:02
Imani za kishirikina zasababisha watuhumiwa kufungwa kifungo cha maisha jela. Na Bukuru Daniel Mahakama kuu ya Bujumbura imewahukumu watu kumi kifungo cha maisha jela kwa kuhusika katika mauaji ya kutisha ya wakaazi sita katika kijiji cha Gasarara wilaya ya Nyabiraba,…
10 July 2025, 12:46
Halmashauri ya Wilaya Kakonko Mkoani Kigoma imetakiwa kuweka mikakati ya kuzalisha mazao ya biashara yenye ushindani ndani na nje ya nchi kwa maendeleo ya wananchi na Taifa kwa ujumla. Na Josephine Kiravu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Balozi Simon Sirro…