Joy FM

maendeleo

3 September 2025, 08:49

RC Kigoma aingilia kati mgogoro wa ardhi mwekezaji na wananchi

Serikali Mkoani Kigoma imeanza kuchukua hatua kuhusu mgogoro wa eneo la hekta 10,000 ambalo wananchi wa kijiji cha Ruchugi wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma wanadaiwa kuvamia eneo la mwekezaji kampuni ya FAZENDA ambayo imekusudia kuwekeza katika mradi wa kilimo huku…

1 September 2025, 15:27

Wachakataji mazao ya uvuvi ziwa Tanganyika walia na masoko

Serikali imesema itaendelea kuwasaidia wavuvi na wachakataji wa mazao ya uvuvi na kuwapatia masoko. Na Kadislaus Ezekie Wananchi  mkoani Kigoma ambao wamejikita katika ufugaji wa samaki kwa njia ya vizimba kwa kufuga samaki aina ya sato wa Ziwa Tanganyika pamoja…

31 August 2025, 10:39 am

Maswa yazindua chanjo ya mifugo, DC Anney atoa maagizo

“Zoezi la chanjo ya mifugo siyo la hiari bali la lazima maana lipo kisheria na linasaidia kupunguza magonjwa ya mlipo kwa mifugo hivyo wafugaji wote muone umuhimu wa zoezi hili kwa kuipeleka mifugo yenu ikapate chanjo” DC Maswa Dkt. Vicent…

31 August 2025, 7:26 am

Bunda: Mamba amshambulia mhudumu wa afya, amjeruhi

Amenusurika kuliwa na mamba wakati akiwa katika shughuli za uvuvi wa samaki. Na Edward Lucas. Aloyce Komanya (32), mkazi wa mtaa wa Bushigwamala, kata ya Guta katika Halmashauri ya Mji wa Bunda, mkoani Mara, amenusurika kuliwa na mamba wakati akiwa…

29 August 2025, 17:30

Wafanyabiashara 4026 wasajiliwa Kigoma

Wafanyabiashara wadogowadogo Mkoani Kigoma wametakiwa wametakiwa kuchangamkia fursa za mikopo inayotolewa na taasisi za benki na Halmashauri ili waweze kujikwamua kiuchumi. Na Orida Sayon Shirikisho  la umoja wa machinga Tanzania (SHIUMA) kanda ya magharibi limefanya kongamano la kumpongeza Dkt Samia…

28 August 2025, 10:51

CRDB yachochea utekelezaji wa miradi ya kimkakati

Serikali imetoa wito kwa mabenki kubuni mipango mbalimbali ya utoaji wa elimu kwa umma na kuelekeza nguvu zaidi katika kukuza uelewa juu ya masuala ya kifedha pamoja na umuhimu wa kutumia huduma za benki. Na Emmanuel Matinde – Kigoma Makamu…

21 August 2025, 11:12 pm

Bunda: Fundi aliyekwama duarani apatikana akiwa amefariki

Na Edward Lucas. Juma Lutamula (33), mchimbaji katika mgodi wa Walwa uliopo katika machimbo ya Kinyambwiga, amepatikana jioni ya leo akiwa tayari amefariki baada ya kufukiwa na kifusi wakati akifanya kazi ya ujenzi wa duara la uchimbaji. Lutamula alipata ajali…

21 August 2025, 6:15 pm

Machilu naye achukua fomu INEC ataja kumaliza makundi

Mgombea wa udiwani kata ya Manyamanyama kupitia chama cha mapinduzi CCM ametangaza juu ya kuvunjwa kwa makundi yote yaliyokuwepo wakati wa kutafuta mgombea wa CCM kata. Na Adelinus Banenwa Mgombea wa udiwani kata ya Manyamanyama kupitia chama cha mapinduzi CCM…