Joy FM

maendeleo

11 September 2025, 7:56 pm

Ahukumiwa kifo kwa kubaka, kuua mwanafunzi

Ushahidi uliotolewa na Jamhuri ulithibitisha bila kuacha shaka. Na Kuruthumu Mkata Mahakama kuu iliyoketi Ifakara Kilombero imemhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa Elopi Kibolile Mwasuku (33) mkazi wa Kata ya Mchombe Halmashauri ya Mlimba baada ya kupatikana na hatia ya…

11 September 2025, 15:53

RC Sirro: Mipaka ya vijiji na kitalu cha uwindaji iwekwe alama

Wananchi wa vijiji vinavyopakana na enep la hifadhi ya Kitalu cha Uwindaji cha Makere – Uvinza wametakiwa kuheshimu mipaka iliyowekwa Na Mwandishi wetu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Balozi Simon Sirro ameutaka uongozi wa Halmashauri ya Wiilaya ya Kasulu kutambulisha…

11 September 2025, 14:17

Miradi 7 kutembelewa na mwenge wa uhuru Buhigwe

Wananchi Wilayani Buhigwe Mkoani Kigoma wametakiwa kujitokeza kuupokea mwenge wa uhuru ambao unatarajiwa kuingia Wilayani humo September 19 Na Emmanuel Kamangu Mwenge wa uhuru katika Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma unatarajia  kutembelea  miradi saba ya maendeleo. Mratibu wa…

10 September 2025, 7:42 am

Wanafunzi 66,102 kuhitimu elimu ya msingi Mara

Maandalizi yote ya mtihani huo yamekamilika kwa ufanisi, na kufikia jana mitihani yote ilikuwa tayari imesambazwa katika halmashauri zote za Mkoa wa Mara. Na Adelinus Banenwa Afisa Elimu wa Mkoa wa Mara, Bulenga Makwasa, amesema jumla ya wanafunzi 66,102 kutoka…

9 September 2025, 10:10 pm

Wanafunzi 13075 kufanya mtihani wa darasa la saba Bunda

Amewasihi wazazi kushirikiana na walimu katika kuhakikisha watoto wanapata maandalizi bora ya mtihani, ikiwa ni pamoja na kuwaandalia mazingira tulivu ya kujisomea na kupumzika. Na Adelinus Banenwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Bunda, Salumu Mtelela, kwa niaba ya Mkuu wa…

5 September 2025, 6:09 am

Udumavu kwa watoto chini ya miaka mitano ni shida

Sababu kuu zinazopelekea udumavu kuwa ni pamoja na lishe duni hasa katika kipindi cha za mwanzo tangu mama anapopata ujauzito  hadi mtoto anapotimiza umri wa miaka miwili,  Na Therezia Thomas Afisa lishe wa Halmashauri ya Mji wa Bunda kwa niaba…

4 September 2025, 6:11 pm

ZEC yatakiwa kuweka mazingira rafiki kwa wenye ulemavu

“Ikiwa watu wenye ulemavu watawekewa mazingi rafiki ya kufika kwenye vituo vya kupigia kura kuwezesha kutokuwepo kwa mtu yoyote mwenye ulemavu kukosa fursa ya kupiga kura” Na Juma Haji. Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Kaskazini Unguja Bi Mboja Hesabu ameishauri…

4 September 2025, 16:02

Madereva bodaboda watakiwa kufuata sheria za usalama barabarani

Ofisi ya usalama barabarani Mkoani Kigoma imesema itaendelea kutoa elimu na kuwachulia hatua za kisheria maredereva bodaboda wanaokiuka sheria za usalama barabarani Na Orida Sayon Vijana wanaofanya shughuli za usafirishaji maarufu bodaboda katika Manispaa ya Kigoma Ujiji  wameshauriwa  kufuata kanuni…

4 September 2025, 15:09

NGOs zaaswa kuepuka utakatishaji fedha na ugaidi Kigoma

Tanzania imekuwa mojawapo ya nchi zilizo Mashariki na Kusini mwa Afrika zilizopiga hatua kubwa katika udhibiti wa utakasishaji fedha haramu na uzuiaji wa silaha za maangamizi na ufadhili wa ugaidi nchini. Na Tryphone Odace Mashirika yasiyokuwa ya kiserikali Mkoani Kigoma…