Joy FM

maendeleo

13 December 2024, 7:08 am

Wanasheria wa Rais Samia watua Bunda

Changamoto za kisheria zilizopo wilayani Bunda ni tatizo la migogoro ya ardhi, mirathi n.k. Na Adelinus Banenwa Wananchi wilayani Bunda wametakiwa kujitokeza na  kutumia fursa ya timu ya wataalamu wa sheria kutoka kwa Rais Samia  inayozunguka kusikiliza kero,  ili kutatua…

11 December 2024, 4:32 pm

Yas imebadili chapa huduma bado ni zilezile

YAS inaendelea kutoa ofa mbalimbali kuelekea msimu huu wa kufunga mwaka ambapo zipo zawadi ambazo zinatolewa kwa washindi wa kila siku, wiki, mpaka mwezi. Na Adelinus Banenwa Wateja wa mtandao wa mawasiliano wa YAS zamani Tigo wametolewa wasiwasi kuhusiana huduma…

11 December 2024, 16:12

Vijana waomba kupewa elimu ya Kujitegemea Kigoma

Ili kuwa na vionozi wenye maadili mema vijana wanapaswa kuandaliwa wakiwa bado katika umri mdogo Na Josephine Kiravu Baadhi ya vijana Mkoani Kigoma wameiomba Serikali kuwapatia elimu ya kujitegemea ili kuondokana na dhana ambayo imejengeka kwamba vijana wengi wamekuwa wapambe…

11 December 2024, 09:42

Wananchi washirikishwe utekelezaji wa miradi Kasulu

Katibu tawala Wilaya Kasulu Mkoani Kigoma amewataka viongozi kuhakikisha wanafanya juhudi zote za kuwashirikisha wananchi kwenye utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maenedeleo ili kusaidia kutogomea miradi au kuhujumiwa katika maeneo yao. Na Michael Mpunije – Kasulu Viongozi wa Serikali za…

9 December 2024, 15:12

Viongozi wa kata, mitaa watakiwa kusimamia usafi wa mazingira

Wananchi katika Halmashauri ya Mji wa Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kuzingatia suala la usafi wa mazingira ili kuhakikisha hakuna mlipuko wa magonjwa. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Watendaji wa kata na mitaa halmashauri ya Mji Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kuhakikisha…

7 December 2024, 10:48 pm

Mbunge Maboto Mradi wa TACTIC kuwa neema Bunda

Mradi wa uendelezaji miji TACTICS kwa mji wa Bunda utakapoanza utasaidia barabara nyinyi za bunda mjini Kupata lami. Na Adelinus Banenwa Mbunge wa jimbo la Bunda mjini Mhe Robert Chacha Maboto amesema mradi wa uendelezaji miji TACTICS kwa mji wa…