Joy FM

maendeleo

4 March 2025, 13:42

Watanzania wakemee vitendo vya ukatili

Vitendo vya ukatili vinavyofanywa na wanafamilia au ndugu wa karibu na sehemu kubwa ya vitendo hivyo havitolewi taarifa kwenye vyombo vya sheria ambapo vimepelekea ongezeko la ukatili katika jamii Na Lucas Hoha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa…

3 March 2025, 15:15

Viongozi wa dini watakiwa kuwa waadilifu na kumtegemea mungu

Askofu Mkuu wa Kanisa la FPCT Tanzania amesema viongozi wa dini hawana budi kusimama imara na kuwa waadilifu katika kuwatumikia waumini wao. Na Hagai Ruyagila Viongozi wa dini katika Kanisa la FPCT Jimbo la Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kuwa waadilifu…

3 March 2025, 12:13

Dkt. Mpango mgeni rasmi kongamano la wanawake Kigoma

Siku ya wanawake duniani ilianza kutokana na jitihada za wanawake 15,000 mwaka 1908 walioandamana mjini New York Marekani wakidai kupunguziwa muda wa kufanya kazi, ujira wa kuridhisha na haki ya kupiga kura. Na Lucas Hoha Makamu wa Rais wa Tanzania…

2 March 2025, 11:55 am

Mtaala mpya wa elimu imepokelewa kwa furaha Busokelo

Afisa uthibiti ubora wa shule Halmashauri ya Busokelo Bi,Asha Kibiki akiwa ofisini kweke [picha na Peter Tungu] katika kwendana na mabadiliko ya sanyasi na teknolojia jamii imetakiwa kuendana na mabadiliko hayo ili kuweza kuanda watoto kuweza kujiajili BUSOKELO- MBEYA Na…

27 February 2025, 16:41

Kamati ya siasa CCM yatembelea miradi minne ya maendeleo Kasulu

Serikali imeendelea kufikisha huduma kwa wananchi kwa kujenga miradi ya mbalimbali ya maendeleo ili kusaidia wananchi kupata huduma za uhakika. Na Hagai Ruyagila Kamati ya siasa CCM mkoa wa Kigoma imefanya ziara ya kutembelea miradi minne ya maendeleo katika halmashauri…