Joy FM

maendeleo

11 March 2025, 15:11

REA yatoa majiko banifu kwa wanufaika TASAF Kasulu

Uhamasishaji na utoaji elimu endelevu ya matumizi ya nishati safi ya kupikia ni muhimu katika utekelezaji mpango wa serikali kwa mtanzania kutumia nishati hiyo ifikapo 2034 Na Hagai Ruyagila Serikali kuu kupitia Wakala wa Nishati Vijijini REA imetoa majiko banifu…

10 March 2025, 13:43

“Vijana kambi ya wakimbizi Nyarugusu msitumike kuvuruga amani”

Serikali na mashirika yanayohudumia wakimbizi katika kambi ya Nyarugusu iliyopo Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma wamewataka vijana kuachana na makundi yanayoweza kuwaingiza katika kufanya vitendo viovu ambavyo vinaweza kusababisha uvunjifu wa amani ndani ya kambi na nje. Na Tryphone Odace Vijana…

7 March 2025, 7:22 pm

Mbunge Ghati ahimiza ushirikiano kwa wanawake

Mbali na kuwataka wanawake kuwa na mshikamano pia amesema ni lazima zisemwe kazi nzuri zilizofanywa na serikali awamu ya sita chini ya rais Samia Suluhu Hassan Na Adelinus Banenwa Wito umetolewa kwa wanawake wote kuwa na ushirikiano na kujenga tabia…

7 March 2025, 14:40

Mawakala wa mabasi Kigoma, Tabora wazindua mradi wa usafirishaji

Mawakala wa mabasi wanaofanya shughuli zao katika mkoa wa Kigoma na Tabora wanaofanya shughuli za usafirishaji wameaswa kuzingatia kanuni za ushafirishaji. Na Orisa Sayon Chama cha Mawakala wa mabasi Kigoma na Tabora (KITA) kwa kushirikiana na Jumuiya ya wacongomani waishio…

7 March 2025, 10:33 AM

Makala: Usafiri wa baiskeli kwa wanafunzi Masasi

Katika kufahamu zaidi kuhusu faida za usafiri wa baiskeli kwa wanafunzi, mwenzetu Neema Nandonde ametuandalia makala iliyohusisha mahojiano na wanafunzi wanaotumia usafiri huo wilayani Masasi mkoani Mtwara. Na Neema Nandonde Sauti ya Makala nzima kuhusu usafiri wa baiskeli kwa wanafunzi.

7 March 2025, 09:43

NEMC yagawa miti kwa shule tano Kigoma

Jamii mkoani Kigoma imeaswa kuwa na desturi ya kupanda miti ili kusaidia kuendelea kutunza mazingira na kupunguza mabadiliko ya tabianchi. Na Timotheo Leonad Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira NEMC Kanda ya Magharibi, imegawa miti zaidi ya…

6 March 2025, 16:48

Milioni 900 kukarabati majengo ya hospitali ya Mji Kasulu

Serikali imeendelea kufanya ukarabati waa miundombinu ya majengo katika hospitali mbalimbali kwa lengo la kutoa huduma bora za afya kwa wananchi. Na Hagai Ruyagila Mradi wa ukarabati mkubwa wa hospitali ya halmashauri ya Mji Kasulu mkoani Kigoma wa majengo 15…

6 March 2025, 09:40

Waamini wapewa mbinu kufanikisha malengo yao

Waumini wa Dini ya Kikristo Mkoani Kigoma Wametakiwa kumtegemea Mungu pasipo kukata tamaa ili kutimiza malengo yao waliyojiwekea katika maisha yao. Na, Hagai Ruyagila Kauli hiyo imetolewa na askofu mkuu wa kanisa la FPCT Tanzania Askofu Steven Mulenga wakati wa…

4 March 2025, 2:24 pm

Serikali ya awamu ya sita mkombozi kwa machinga

Picha ya baraza la machinga wilaya ya Mpanda. Picha na Samwel Mbugi “Tumeazimia kuwainua machinga kwa kuwakopesha mikopo yenye riba nafuu” Na Samwel Mbugi Baraza la machinga wilaya ya Mpanda mkoani Katavi wameazimia kuwainua wafanyabiashara wadogo kwa kushirikiana na taasisi…