Joy FM

maendeleo

4 June 2025, 12:15

Wanafunzi wenye mahitaji maalum Kasulu wapewa tabasamu

Watoto wenye mahitaji maalum wamepewa sare za shule wilayani Kasulu. Na Hagai Ruyagila Wadau wa maendeleo katika Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kuendelea kujitokeza kuwasaidia wanafunzi wenye mahitaji maalumu, hususan wale wenye ulemavu wa viungo, ili kuwawezesha kutimiza ndoto…

2 June 2025, 15:32

WFP yatoa mashine 5 kuongeza virutubishi vya unga lishe

Wazazi na walezi wilayani Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kuzingatia lishe kwa watoto wao ili waweze kuwa afya bora. Na Michael Mpunije Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani WFP kupitia mradi wa Kigoma Joint Programme limekabidhi mashine…

28 May 2025, 12:18

Zaidi ya vyandarua milioni 1.7 kusambazwa Kigoma

Serikali imesema itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali wa afya katika kukabiliana na ugonjwa wa Malaria ambao umekuwa ukisumbumbua katika mataifa mbalimbali kusini mwa jangwa la Sahara. Na Josephine Kiravu Zaidi ya vyandarau million 1.7 vyenye thamani ya zaidi ya shilingi…

26 May 2025, 16:32

Viongozi wa dini wahimizwa kuhubiri amani Nchini

Viongozi wa dini Nchini wamehimizwa kuendelea kuliombea Taifa hasa kipindi hiki cha uchaguzi Mkuu. Na Josephinr Kiravu Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa dini Kutumia majukwaa yao kuhimiza amani ikiwa ni pamoja na kusisitiza wananchi kushiriki  katika…

26 May 2025, 16:18

Watakiwa kuliombea taifa kuelekea uchaguzi mkuu

Wakati Taifa likeelekea katika uchaguzi Mkuu, wakristo wameaswa kuendelea kuombea amani Na Hagai Ruyagila Waumini wa Dini ya Kikristo wilayani Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kuliombea taifa kuelekea katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi ocktoba mwaka huu ili ufanyike kwa amani na…

26 May 2025, 16:03

Wanaume ni vichwa na viongozi kuweni kielezo cha kanisa Kasulu

“Wanapokutana wanaume wakatoliki na kufanya hafla mbali mbali ni moja ya kuendelea kujenga  umoja  ikiwemo  kutiana moyo katika kuendelea kushiriki matendo ya huruma kwa kuwatunza wahitaji wenye shida mbalimbali” Na Mwandishi wetu Wanaume wa kanisa katoliki parokia ya mrubona jimbo…

24 May 2025, 8:41 pm

Vijana wahimizwa kugombea uchaguzi mkuu 2025

Ni jukumu la vijana hao kuhakikisha wanwalinda viongozi pia wanajitokeza kugombea nafasi za uongozi pindi mchakato wa chama utakapoanza Na Adelinus Banenwa Katibu wa jumuiya ya umoja wa vijana chama cha mapinduzi wilaya ya Bunda Pendo Machilu amewataka vijana kuacha…