Joy FM
Joy FM
9 July 2025, 5:21 pm
Nafasi za ushiriki katika mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2025, ambapo jumla ya vijana saba wanahitajika kushiriki kutoka Wilaya ya Bunda na Mkoa wa Mara. Na Adelinus Banenwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Bunda, Salumu Mtelela, ametangaza nafasi…
9 July 2025, 15:35
Ukusanyaji wa mapato unatajwa kuchochea maendeleo kwa wananchi na Taifa kwa ujumla. Na Hagai Ruyagila Mkuu wa mkoa wa Kigoma IGP Mstaafu Balozi Simon Sirro amewataka wakusanyaji wa mapato katika Wilaya ya Kasulu kutoka katika halmashauri zote za wilaya ya…
9 July 2025, 14:57
Kiwanda cha miwa kilichopo Wilayani Kasulu kuwanufaisha vijana na kukuza uchumi. Na Josephine Kiravu Mkoa wa Kigoma unaendelea kufanya vizuri kitaifa katika sekta ya uwekezaji ambapo Hadi Sasa wawekezaji wameendelea kuwekeza Kwa kujenga viwanda na kufanya vijana wengi kupata ajira…
8 July 2025, 16:18
Timu ya Aigles Noirs CS kutoka Mkoa wa Makamba imeelekea Afrika Kusinini kwa ajili ya kambi ya kujianda na msimu wa mpya wa mwaka 2025/ 2026 Na Bukuru Daniel Timu ya Aigles Noirs CS kutoka mkoa wa Makamba imeondoka Jumanne,…
8 July 2025, 13:10
Watumishi wa umma Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kufanya kazi kwa weledi ili kuhakikisha wanafikisha huduma bora kwa wananchi. Na Josephine Kiravu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Balozi Simoni Sirro amewataka watumishi Wilayani Kasulu kufanya kazi Kwa weledi ili kufanikisha…
7 July 2025, 12:59
Vikundi vya vijana, wanawake na watu wenye ulemavu wametakiwa kutumia mikopo inayotolewa na Halmashauri kutumia mikopo hiyo kwa malengo yaliyokusudiwa. Na Mwandishi Zaidi ya shilingi milioni 800 zinatarajia kutolewa na Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma kwa vikundi 71 vya wajasiliamali…
7 July 2025, 09:39
Mkuu wa Wilaya Kasulu Mkoani Kigoma Kanali Isac Mwakisu amesema anatamani kuona mashirika yasiyo ya kiserikali yakishikamana na kufanya kazi kwa umoja katika kuwahudumia wananchi kupitia shughuli mbalimbali za kijamii Na Emmanuel Kamangu Mashirika zaidi ya 40 yasiyo ya kiserikal…
5 July 2025, 8:50 am
Matumizi ya mita za malipo ya kabla pia yatasaidia kuhimiza matumizi bora ya maji na kuongeza uwazi katika ulipaji wa huduma. Na Adelinus Banenwa Katika hatua ya kuimarisha huduma za usambazaji maji na kuondoa changamoto za malalamiko ya wateja kuhusu…
3 July 2025, 15:15
Mkuu wa Mkoa Kigoma Simon Srro amesema atashirikiana na viongozi na wananchi wa Mkoa Kigoma katika kuhakikisha maeneleo ya Mkoa yanasonga mbele. Na Lucas Hoha Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kamishna Jenerali Mstaafu wa jeshi la zimamoto na uokoaji…
3 July 2025, 8:08 am
Ruhundwa amesema anaamini zaidi katika matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) katika kila sekta kuleta maendeleo kutokana na ukuaji wa teknolojia duniani. Na Mwandishi wetu Katika kile kinachoonekana kuwa kiu ya kuwatumikia Wanangara na kuifanya Ngara kuwa kubwa…